BPM
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,760
- 573
BPM Hapo sijakuelewa hali zao za chini kwa maana gani kuwa huko kwa wazazi alikotokea au huyo mume aliyemuoa?kama unamaanisha alikotokea vip kuhusu (wanandoa) wale walioanza na kitanda kimoja na chumba kimoja cha kupanga baada ya muda wakabarikiwa kujenga ghorofa then mwanaume akaanza makeke? Na hapa tusemeje?
hali ya kipato pasipo kuwa hata na mafanikio ya ghorofa ...