Mr George Francis
Senior Member
- Jun 27, 2022
- 186
- 212
Dear men,
Unapokutana na mwanamke na ukatokea kumpenda, tenga muda wa kumfahamu vizuri ujue size yake.
Muhimu kufahamu vitu anavyopenda na gharama zake. Mfano: mavazi, mitindo ya nywele na mambo mengine kadha wa kadha.
Muhimu sana kuwa makini na mazungumzo yake. Lugha yake kama ni ya staha au imejaa dharau, kejeli, matusi na majivuno.
Muhimu kufahamu hali yake kimaisha, familia anayotoka na mtindo wake wa maisha au kwa lugha raisi tunasema "life style" yake kwa ujumla.
Lengo la kutaka kufahamu haya yote ni wewe kujua kama size yake inakutosha na unaweza kuendana nae siku zote za maisha yako au ni big size au ni below size hivyo hutaweza kuendana nae.
Kuna mwanamke unaweza kukutana nae leo na kumpenda lakini ni mwanamke wa gharama kubwa kuliko hali yako ya kimaisha.
Huyu ukilazimisha kuwa nae atakushinda na ataenda kwa mtu mwingine mwenye size yake na kufurahia maisha.
Sasa usije kutamani wanawake ambao sio size yako arafu kesho akihitaji elf 30 ya kusuka unaanza kulaumu na kutukana wanawake wote duniani kuwa wanapenda pesa.
Muhimu unapaswa kutambua kuwa kuna wanawake wazuri wa level zako ambao utapata takayekubali, kushukuru na kukuombea kwa Mwenyezi Mungu ukimpa elf 3 tu ya kusuka.
Brother, chagua mwanamke wa level zako. Yamkini ulipomhitaji mwanzo hukujua size yake lakini sasa umejua size yake jitathmini na chukua hatua.
Sio sahihi kuendelea kulalamika eti wanawake wanapenda sana pesa, ooh! sijui kimeenda kimerudi, achana na lawama zisizo za msingi brother.
Hakuna mwanamke wa gharama bali ni wewe tu umeamua kuchagua mwanamke ambaye sio size yako.
Kuna haja gani ya kukunua kiatu kikubwa kisha ujaze karatasi ndani ili kikutoshe wakati vipo viatu vingine vingi tu vizuri vitakavyokutosha mojakwamoja!!?
IJUE size ya MPENZI unayemtaka na uache kulaumu wanawake."
QUESTION: Je, mpenzi uliyenae ni size yako au ni oversize unapambana tu hivyo hivyo au tukuache kwanza ufikirie!!? 😀 😀
NAME: Mr George Francis
EMAIL: mr.georgefrancis21@gmail.com
PHONE: 0713736006