Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,810
- 623
kweli, hivi hadi mnakuwa wapenzi si ina maana ulishaona anafaa.
Nilishawahi kuliongea hili la kubadilishana na watu wakabisha.
Nafikiri kama mpenzi wako ameanza kubehave tofauti na awali ndio unaweza mbadilisha arudi katika hali yake ya awali. Mengine yote yabaki kama ulivyoyakuta.
kama imejitokeza ndani ya uhusiano i agree with u anaweza kubadilika. Bt kama unamkuta mtu tayar ana tabia zake dah hapo inakua ngumu bt kiasi flani inawezekana kumtuliza.