Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,193
Ninachofahamu hakuna anaeweza kumbadilisha mtu,mtu hubadilika mwenyewe,kwanza kwanini abadilike?Unapotaka hayo unaenda nje ya maana halisi ya upendo!
kweli, hivi hadi mnakuwa wapenzi si ina maana ulishaona anafaa.
Nilishawahi kuliongea hili la kubadilishana na watu wakabisha.
Nafikiri kama mpenzi wako ameanza kubehave tofauti na awali ndio unaweza mbadilisha arudi katika hali yake ya awali. Mengine yote yabaki kama ulivyoyakuta.