- Thread starter
- #21
Rocky kumbadili mtu mzima ni kazi sana, unaweza ila asilimia ndogo saana, mtu awezi acha asili yake, anaeza badilika kwa muda kama ni mwanzo wa mahusiano ili akuvutie, with time anarudia lifestyle yake, hiyo naongelea tabia tu ya mtu, ulevi na mengine asilimia ya kubadilika inaongezeka
Gaga nakubali ila kuna mahali ambapo hata kama ni tabia yake anafikia kipindi anajikataa na kutaka mabadiliko. Hapo ni pale ambapo utakapotumia ushawishi wako na maneno yenye hekima anaweza kubadilika na kuyjikuta alikuwa mlevi anarudi kuwa baba wa familia