gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,673
i thought you are under age kumbe lol!.......... nimeng'aduliwa???? mdogo wangu unakua haraka sana siku hizi narudia tena kukuambia.Kuongezea tu ni kuwa kiungo chochote cha mwili wa mwanadamu(haswa mwanamke) ambacho ni mithili ya ncha au upaba(mathalani chuchu, masikio, midomo, kinena) au maungio ya viungo(kwenye kona nyuma ya goti, shingoni)...hizi sehemu ni muhimu sana kwenye kumpa hashiki mwenzi...
Wakati wa chakula cha usiku jaribu kuzipapa, kulamba na hata kupitisha pumzi sehemu hizo taratibu na kwa ustadi mkubwa.