Namdai,anasingizia namtongoza!

Duh hii thread ya zamani hata kabla mwigulu madelu hajaanza ugaidi..jamani
 
Nyo.....ko, hujui hiyo hela hata wigi hainunui?

sasa mbona unaharisha mdomoni na kiharishio unacho?ndio tatizo lenu nyinyi mkiambiwa ukweli kupayuka mwajifanya mna pesa kumbe chokambofumbofu sister!
Utakuta ndo nyie aliyewaimba ney wa mitego mnabomolewa hata kwa buku shz typ
 
Da ebana mpotezee tu huyo mungu atakulipa maana hata ukimwendea atakusingizia unambaka uwawe bure
 
Back
Top Bottom