Namdai,anasingizia namtongoza!

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
17,284
10,665
Kuna dada nilimkopesha elfu 30,alisema atanilipa,lakini kwa kadiri nilivyozidi kumdai akasingizia namtongoza na nikome kumpigia simu,Je how can I get my money,sikuwa na sina mpango wa kumtongoza.
 
Dai kama mliandikishiana laa sivyo we kausha......utatafuta balaa maana si mstaarabu huyo mkopaji.
 
Magriti Sinkaz,

hii mada tangu iletwe humu jamvini mwaka juzi leo ndiyo mmepata cha kumshauri huyu mdau?
 
nitumie namba zenu wewe na uyo dada niwatwange dolla 300 kila mmoja. harafu muombane msamaha uyo msichana si makosa yake bali poverty.umaskin unafanya mtu akuchenjie sasa hivi.
 
Ndugu yangu angalia tsh 30, 000/= zilikuondolee thaman ya utu wako, kama huyo ameamua kukudhulumu.....
We cha msingi achana nae hesabu kama hiyo fedha umedondosha, anza upya
 
Kuna dada nilimkopesha elfu 30,alisema atanilipa,lakini kwa kadiri nilivyozidi kumdai akasingizia namtongoza na nikome kumpigia simu,Je how can I get my money,sikuwa na sina mpango wa kumtongoza.

hebu sema kama ulilipwa au imekuwaje
 
30,000 tu ndo hadi umekuja kuileta JF?????? kweli sisi ni watanzania. Tena wewe kama si mpare utakuwa mchaga.
 
mbona hakuna tatizo hapo, si umtongoze kweli? mbona hadi hapo ameshakupunguzia safari ya kupiga sound? acha fix mkubali dada wa watu bhana
 
Back
Top Bottom