Namdai,anasingizia namtongoza!

huyo atakuwa tapeli achana nae anaweza kukusababishia matatizo makubwa samehe bure
 
nitumie namba zenu wewe na uyo dada niwatwange dolla 300 kila mmoja. harafu muombane msamaha uyo msichana si makosa yake bali poverty.umaskin unafanya mtu akuchenjie sasa hivi.
teh teh teh una masihara wewe nilishapotezea bwana
 
30,000 tu ndo hadi umekuja kuileta JF?????? kweli sisi ni watanzania. Tena wewe kama si mpare utakuwa mchaga.
we mrembo by Nature vipi bwana hujui mateso ya mchimba kokoto wewe,after all ni kitambo niliassume nimepoteza.
Ingekuwa kama mwaka huu sijui ningemfanya nini maana hiyo inatosha kulipia laini moja miaka miwili na nusu aisee
 
Fanya kama wapare; wanauza ng'ombe kwa kesi ya kuku. Wee mualike mtoko mwambie umezifumania unataka mkazitumie. Akikubali mnatumia kama elfu 60 halafu "bill" ikija unamwambia kila mtu alipe alichotumia. Unalipa yako then unamuacha hapo, lazima watammenyesha viazi vya chipsi!
 
We kama vipi nyenyekea ule mzigo huo upoze machungu tena siku hiyo hamna kumpumzisha kila akigeuka kitu mpaka akome.
 
Back
Top Bottom