BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,163
bad debt written off
bad debt written off
hii inanikumbusha mbali kidogo nimeingia rock city wasukuma bwana!
wacha wanipaparikie kila siku mi outing wenye kuweka bill za chakula,maziwa kufanya shopping hkutuma hela mpesa ili mradi fujo tu ila hata mmoja hakupata mzigo
basi kuna kaka mmoja anauza nguo na anakopesha mpaka mwisho wa mwezi na mimi nikakopa nguo 4 jumla laki na 20(aliyenidhamini mama yangu mkubwa mwenyeji wangu)
sasa kabla sijamlipa si akaanza kunitongoza outings mbili ha ha na mimi chance hiyo mtoto wa kariakoo maneno ya ulaghai nayajua jamaa akajua atakula mzigo
nikamwambia mpigie simu mamkubwa mwambie nimekutumia mpesa hela zako zote,jamaa akakubali akaenda hewani
mwisho wa siku mzigo sikumpa ha ha si akaanza kunidai nikamwambia nilikutumia mpesa si hata mamkubwa ulimwambia kuwa umepata hela?
Ikabidi aseme ukweli home mi nikamwambia wewe unisumbue mimi bure tu bila faida hilo deni ndo faida ya kukufata kuongea na wewe
ikala kwake hata babmkubwa akamwambia we umsumbue bint yangu bure hiyo ndo faida yake loo(i love my bamkubwa maana bonge la muelewa) mpaka narudi dar sikumlipa loo
sasa isije kuwa na wewe uliingiza mapenzi kabla hujalipwa deni??
Haya tuambie mlikopeshanaje hizo kumikumi 3?
halafu wewe polisi.........
Wewe ni kibaka
Kweli kabisa na kama huna cash usishangae nikakubakua wewe mwenyewe