Nifanye nini kupata pesa zangu nilizodhurumiwa na huyu kigogo?..

Mar 17, 2024
5
14
Habarini ndugu, kuna mwamba namdai pesa about 100m.. jamaa nilimkopesha na tuliandikishana mkataba. Ni muda mrefu miaka 5 sasa. Nilimpeleka police, lakini haikuzaa matunda kwa kuwa jamaa alikuwa na wadhifa fulani ndani ya chama na kaka yake ni mteule wa raisi hivyo nikagonga mwamba.. nikaenda mahakamani lakini pia ilionekana ni kama walimnunua mheshimiwa shauri likafutwa katika mazingira ambayo sikuyaelewa.. yaani tulipangiwa tarehe ya kusikiliza kesi, tulivyokwenda tukaambiwa kesi ilikua ni jana yake, kwamba hatukuwepo na mheshimiwa akafuta shauri. Kitu ambacho sio kweli, tarehe tuliyoambiwa ndio hiyo siku tuliyoenda. So kesi ikawa imefutwa.

Nafanyaje kupata pesa zangu?.. mahakama siiamini tena na ninaona ni kama naenda kupoteza muda na pesa huko. Nafanyaje kupata haki yangu?.
 
Maelezo yako kuhusu mahakamani nahisi yana uongo.

Kesi inavyopangwa mdai na mdaiwa wote mnapewa summons ambazo zinaandikwa tarehe ya kesi.

Hakimu hawezi badili tarehe ama kufuta kesi kienyeji eti hamkuwepo
 
Embu eleza vizuri ulimkopesha 100m kwa kigezo gani maana kama kitu kimejificha
 
Maelezo yako kuhusu mahakamani nahisi yana uongo.

Kesi inavyopangwa mdai na mdaiwa wote mnapewa summons ambazo zinaandikwa tarehe ya kesi.

Hakimu hawezi badili tarehe ama kufuta kesi kienyeji eti hamkuwepo
Mahakinu wa mahakama za mwanzo wana ujinga
Mama yangu ni muombaji sana na ana imani
Kuna muwekezaji alikuja akawapiga kwenye kikundi
Basi akaenda kufungua kesi ile kesi ikahamishwa bila yeye kujua
Yaani mizengwe ila aisee mahakama hizi za chini ni jau
 
Maelezo yako kuhusu mahakamani nahisi yana uongo.

Kesi inavyopangwa mdai na mdaiwa wote mnapewa summons ambazo zinaandikwa tarehe ya kesi.

Hakimu hawezi badili tarehe ama kufuta kesi kienyeji eti hamkuwepo
Yaani kama hujawahi kukumbana na mambo hayo nyamaza tu sitosahau hakimu alivyokuwa anatufanyia kesi yetu bahati akatumbuliwa alikuwa na malalamiko mengi kipindi hayati Magufuli kaenda Butimba akatumbuliwa acha kabisa kitu kinaitwa RUSHWA.
 
Back
Top Bottom