Zabibu
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 256
- 54
Habar zenu wan jf..nimeridi tena..me nina miaka 25.nimeolewa na nina mtoto wa miaka 2.miaka yote niliyoishi na mume wangu tumepata mafanikio japo nimepitia matatizo mengi kwa kuwa huyu mume kanizidi cna umri na ni mtu wa totozi sana
Sasa kwa kuwa nimetoka ktk familia ta wacha mungu nikaona nipambane na maisha huyu ndiye mume mungu aliyenipa.
Nimekuwa nikivumilia na huu ni mwaka wa 7 wa maisha yetu pamoja lakini nakereka na vitabia vingi ukiwamo wivu alionao kwangu wa kuputiliza natabia ya kuweka watu wa majirani na ofisini kwangu wanichunguze nan anakuja nan nna mazoea nae hasa wanaume.
Hiki kitendo huwa kinanikera nataman hata cjui nifanyaje na nkimuuliza asema et hawez acha kufanya hivyo coz me mkewe.kiukweli ni mbishi.
Ukweli ni kuwa me kma mwanamke mrembo kutongozwa ni kitu cha kawaida lakini sina mahusiano nje ya ndoa yangu.
Hapa nilipofikia nahisi namchukia mume wangu..what am gona do au niishije na huy mtu bila kukwazika?
nikimuona nasikia kulia tu na nikilia anasema eti kuna mtu namkumbuka dats y nalia.wakubwa wangu nielekezen kidogo ntaipoteza ndoa yangu
ukiolewa na mwanaume aliyekuzidi sana umri jiandae kuchungwa ile yenyewe yenyewe...nina dada yangu analia kutwa kucha hakuna kuongea na mtu wala kutembea kwenda popote,unasema wewe ambaye unaenda hadi kazini??? UNALO HILOOOOO