Namchukia mume wangu

davina

Senior Member
Jan 21, 2012
113
87
Habar zenu wan jf..nimeridi tena..me nina miaka 25.nimeolewa na nina mtoto wa miaka 2.miaka yote niliyoishi na mume wangu tumepata mafanikio japo nimepitia matatizo mengi kwa kuwa huyu mume kanizidi cna umri na ni mtu wa totozi sana
Sasa kwa kuwa nimetoka ktk familia ta wacha mungu nikaona nipambane na maisha huyu ndiye mume mungu aliyenipa.
Nimekuwa nikivumilia na huu ni mwaka wa 7 wa maisha yetu pamoja lakini nakereka na vitabia vingi ukiwamo wivu alionao kwangu wa kuputiliza natabia ya kuweka watu wa majirani na ofisini kwangu wanichunguze nan anakuja nan nna mazoea nae hasa wanaume.
Hiki kitendo huwa kinanikera nataman hata cjui nifanyaje na nkimuuliza asema et hawez acha kufanya hivyo coz me mkewe.kiukweli ni mbishi.
Ukweli ni kuwa me kma mwanamke mrembo kutongozwa ni kitu cha kawaida lakini sina mahusiano nje ya ndoa yangu.
Hapa nilipofikia nahisi namchukia mume wangu..what am gona do au niishije na huy mtu bila kukwazika?
nikimuona nasikia kulia tu na nikilia anasema eti kuna mtu namkumbuka dats y nalia.wakubwa wangu nielekezen kidogo ntaipoteza ndoa yangu
 
duh.....sasa kwani we unataka nini??????

tukusaidie lipi hasa?

umesema unamchukia sasa sisi tukusaidie usimchukie au vipi?????

huoni kama umeshaamua hutaki ndoa yako ivunjike

hakuna namna zaidi ya kuvumilia?au unataka tukushauri uvunje ndoa?
 
Nazani jambo la msingi ni kuvunja ukimya na kuamua kuzungumza na mwenzio. tafuta muda mzuri wakati wote mkiwa wenye furaha unaweza kuamua japo kutoka naye out siku hiyo iwe beach au sehemu yoyte ile ya kuvutia na katika maongezi yenu jaribu kumkumbushia mambao mbali mbali katika uhusiano wenu ambayo yalikufurahisha na kukufanya wewe kuwa mwenye furaha na pia mueleze kwa upole mambo ambayo hupendi akufanyie na sababu zake na mambo ambayo unapenda akufanyie. Kwa kufanya hivyo nina uhakika kabisa kama kweli anakupenda kwa dhati atakusikiliza na atajirekebisha
 
duh.....sasa kwani we unataka nini??????

tukusaidie lipi hasa?

umesema unamchukia sasa sisi tukusaidie usimchukie au vipi?????

huoni kama umeshaamua hutaki ndoa yako ivunjike

hakuna namna zaidi ya kuvumilia?au unataka tukushauri uvunje ndoa?

Nahitaji ushauri jinsi ya kuhandle hii situation coz inaniumiza mm
Nifanyaje ili nisimchukie...na kma huna ushauri syo mbaya ukapita kaka
 
Davina

Jaribu ku compile matatizo yooote ya ndoa yako ABC ukimaliza uweke sreadi tukusaidie
La kuzima simu limeisha ??naona limekuja lingine la wivu
Nahisi bado litakuja lingine …
Pole sana najaribu kuwaza ni msaada gani unahitaji Davina
 
Kwani inakuwaje hupendi kuchunguzwa? Ni wivu wakawaida tuu huuo bana inatakiwa umpende zaidi mumeo!
 
Davina

Jaribu ku compile matatizo yooote ya ndoa yako ABC ukimaliza uweke sreadi tukusaidie
La kuzima simu limeisha ??naona limekuja lingine la wivum
Nahisi bado litakuja lingine …
Pole sana najaribu kuwaza ni msaada gani unahitaji Davina
La kuzima simu lilipita nilitake it easy..matatizo nimekabiliana nayo kwa miaka yote lakini sasa naona ntazeeka mapema ikiendelea hivi mamii..nahitaji maisha yangu yachange huyu ataniuwa cz yy ameshaishi mara 2ya umri wangu sijui mbelen itakuwaj
 
Differance ya age sio kigezo cha kuwa na matatizo katika nyumba. Matatizo ni pale mwanamume anapo ona mkewe ni mtumwa wake. Hii ni problem kubwa katika mfumo huu dume tulio nao hapa TZ. Jaribu kujadiliana nae kwa mahaba. Kama ikishindikana, waone wana familia wenye hekima ili waweze kuwaweka wote katika mazungumzo. Kuwa mkweli. Kila ukimchulia, sub conciously, unatengeneza mazingira ya kukorofishana zaidi na hii inaweza ikajenga rift ambayo itawapeleka pabaya. Kubuka mtoto. I pray for your relationship and I wish you goodluck.
 
La kuzima simu lilipita nilitake it easy..matatizo nimekabiliana nayo kwa miaka yote lakini sasa naona ntazeeka mapema ikiendelea hivi mamii..nahitaji maisha yangu yachange huyu ataniuwa cz yy ameshaishi mara 2ya umri wangu sijui mbelen itakuwaj
Mi nadhani huyo mume umeshamchoka. sidhani kama unahitaji ushauri tofauti na kukuambia uachane na huyo mkaka. fanya hivyo basi, take a loong break.............. ukishahangaika sana huko nje then utajua unataka nini hasa.............
all the best!
 
Ikubali hiyo hali akiona hujali, ataacha. Ila unavyoMIND ndio anaconclude zoezi lake linafanya kazi. Pole sn.
 
kuna vitu vingine ni kujidanganya saana

mtu unajua hupendi ugali

unajilazimisha kula eti ugali ni chakula cha taifa

lazima nipende kula ugali.........

huku unawaona wanaokula pilau na vyakula vingine wanafaidi na udenda unakutoka...

utasema ni lazima ule ugali.......

amua tu siku moja kuwa kuanzia leo sitaki kula ugali

na wewe tafuta pilau uanze kufaidi.....
 
Mie naona bado unaishi kanani,
nchi ya ahadi
nchi ya mana na asali na maziwa

hivi wewe ni mgalatia?
Umerogwa?
Ni mgeni yerusalemu hii ya ndoa?
Sasa kama anakuwekea watu wakuchunguze
na wewe huna siri ya kuficha hofu yako nini??

Anyway, umri unaruhusu hayo mawazo yako.
 
Mueleze! Men are not mind readers, muambia unamchukia kwa sababu 1, 2,3... Asipobadilika follow ur hear mamii! Maisha yenyewe yako wapi ya kuishi unachukia kila saa! Leo naingia kwenye fb wall ya mtu tuliyewasiliana alhamis last week naona kila mtu kamuandikia RIP, nikasema kirrrruuuu!
Yaani unachukia kwa sababu ana wivu uliopitiliza na humchuki kwa kuwa serial cheater? Eh!
 
Huyu davina si ndo alisema
anataka kuachana na mumewe sababu hapigi simu akisafiri?
Eti ni mvivu wa mawasiliano?

Kama ndiye ana lake jambo, kidumu kimekolea.
 
vunja ukimya
mueleze mumeo nini unapenda nini unachukia

mwambie nini unataka nini hutaki
mwambie nini afekebishe nini aongeze

muweke wazi asipoyafanya hayo unayotaka nini kitatokea, au hatua gani utachukua
 
kinachofuata utatoka nje ya ndoa..we mwambie ukweli.unajua mara zote mtu hufanya kitu akionacho sawa machoni pake so inabidi umwambie anachokifanya si sawa then ucheki kama atabadilika.umetafuta wazee muongee kiutu uzima??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom