Nakupa Siri ya kuwapata wadada wa kichaga

wadada wa kichaga ni zaidi ya hayo yanayosemwa, ni wacheshi, na kwa kuwa hawana mapenzi ya kweli si wasumbufu, na kwa ujasiriamali wapo juu kama unafikiria maisha ya watoto wako baada ya kifo chako wachaga ni ndio jibu.

Naomba ufute hiyo kauli tafadhali!!!!
 
Inatokea na isipotokea wakikataliwa wanaleta malalamiko ya ajabu ajabu JeiEff!
lakini thatha huyu jamaa alivyothema hivi thi ni kweli? "Mweekee bajeti ya kiasi cha pesa, muonge mara ya kwanza, ya pili, ya tatu mpaka ya tano. Mara ya sita omba mzigo. Walahii Aruki"
 
lakini thatha huyu jamaa alivyothema hivi thi ni kweli? "Mweekee bajeti ya kiasi cha pesa, muonge mara ya kwanza, ya pili, ya tatu mpaka ya tano. Mara ya sita omba mzigo. Walahii Aruki"

Huo ndio upotoshaji wenyewe sasa!!!Hatudanganyiki na vijisent....mtu akikutaka amekutaka na akikukataa amekukataa hata kama una ama huna vijisent kama vya mafisadi!!!
 
Huo ndio upotoshaji wenyewe sasa!!!Hatudanganyiki na vijisent....mtu akikutaka amekutaka na akikukataa amekukataa hata kama una ama huna vijisent kama vya mafisadi!!!

ila mtoa mada atakuwa ashawahi kufanya hii kitu au mnatofautiana?
 
Yani ukabila hadi kwenye kutongoza!!!!!
Orait, kwa hiyo unakuwa umetongoza au umenunua tamu?
Kwa hiyo wadada wa kichaga ni vichwa sana........kuwa-convice kwa maneno lazima uwe Ocampo flani.
Au unataka kusema wadada wa kichaga wananunulika!
 
kwahiyo unajuaje kama ni romantiki kabla hujatoa fedha zako au unaanza kwa kuuliza dada wewe ni kabila gani. (aina mpya ya kutongoja wadada wa kichaga)

mchaga humuulizi unaangalia usafiri tu, na wakiona opotyuniti wenyewe wanafuata huna haja kuimba sana wewe toa hELA
 
Mi najua tunapenda pesa na tunajua kuzitafuta sana tu!hatupendi being a goalkeeper..and tena hamna mtu asiependa hela jamani,!
 
Back
Top Bottom