Nakupa Siri ya kuwapata wadada wa kichaga

Wanauelewa mpana sana kuhusu maisha ya familia na majukumu yake, wanataka kuwa na uhakika kama una-uwezo wa kuhimili mikikimikiki ya maisha ya TZ ili muweze kuwa na maisha mazuri kiuchumi kwa faida ya familia na jamii. Kumbuka maisha ya kawaida ndani ya ndoa yanachukua muda mwingi kuliko mapenzi. Mafanikio ya kimaisha yanamchango mkubwa sana katika furaha unayo ihitaji, stress za kuwaza nitakula nini au nitaishi wapi au nitasomeshaje watoto nk zinaweza changia kupunguza upendo ndani ya nyumba. Kutokana na ufahamu mkubwa wa wanawake wa kichaga kabla ya kuzama kwenye mapenzi lazima wawe na uhakika kama kweli unaweza kukabiliana na niliyoyaeleza hapo juu.
 
wanauelewa mpana sana kuhusu maisha ya familia na majukumu yake, wanataka kuwa na uhakika kama una-uwezo wa kuhimili mikikimikiki ya maisha ya tz ili muweze kuwa na maisha mazuri kiuchumi kwa faida ya familia na jamii. Kumbuka maisha ya kawaida ndani ya ndoa yanachukua muda mwingi kuliko mapenzi. Mafanikio ya kimaisha yanamchango mkubwa sana katika furaha unayo ihitaji, stress za kuwaza nitakula nini au nitaishi wapi au nitasomeshaje watoto nk zinaweza changia kupunguza upendo ndani ya nyumba. Kutokana na ufahamu mkubwa wa wanawake wa kichaga kabla ya kuzama kwenye mapenzi lazima wawe na uhakika kama kweli unaweza kukabiliana na niliyoyaeleza hapo juu.
another thanks naongezea hapa.pia sio vilaza wa maisha ukiwacompare na wa pwani.
 
wanauelewa mpana sana kuhusu maisha ya familia na majukumu yake, wanataka kuwa na uhakika kama una-uwezo wa kuhimili mikikimikiki ya maisha ya tz ili muweze kuwa na maisha mazuri kiuchumi kwa faida ya familia na jamii. Kumbuka maisha ya kawaida ndani ya ndoa yanachukua muda mwingi kuliko mapenzi. Mafanikio ya kimaisha yanamchango mkubwa sana katika furaha unayo ihitaji, stress za kuwaza nitakula nini au nitaishi wapi au nitasomeshaje watoto nk zinaweza changia kupunguza upendo ndani ya nyumba. Kutokana na ufahamu mkubwa wa wanawake wa kichaga kabla ya kuzama kwenye mapenzi lazima wawe na uhakika kama kweli unaweza kukabiliana na niliyoyaeleza hapo juu.
Wa pwani wanaojua mwanamume kumuhandle ni kumpa penzi tu halafu yeye agharamie familia.Sisi tunatafuta wote na december homeeeeeee.Mtatutaka sasa?
 
Mkuu dada zangu siyo wa chips,pepsi halafu mapenzi ni wa fedha na maisha mapenzi badae mkuu.
 
mmmh humu ndani wachaga wengi! but mama aliniambia nisioe wachage sijui why? THANK U MAMA I WILL KEEP THE PROMISE!

Nadhani mama amekudhulumu haki yako ya kuoa umpendae, hana haki ya kukupangia usioe mtu flani kulingana na matakwa yake. Sina maana uliyemuoa hafai bali hakuwa na haki ya kukupa mipaka nani umuoe. Nipo kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka mitano wengi walioelekezwa watu wa kuwaoa wamekutana na changamoto nyingi sana katika maisha yao na mara nyigi huwa wanajutia maamuzi yao. Lakini kama utaoa kwa ufahamu na matakwa yako mwenyewe ni rahisi sana kukabiliana na changamoto utakazo kutana nazo kwenye ndoa bila kujutia uamuzi wako. Kukabiliana na changamoto za ndoa huku ukijuta kwanini umeoa inamadhara makubwa sana ya kisaikologia na maisha kwa ujumla.
 
Mmh ............sasa nimeamini kuwa Wachaga ndo wenyewe maana kila kukicha wanaimbwa.......enyi kina dada wa kichaga hebu punguzeni mahanjumati bana jamani mnawafanya wakaka wanaweweseka tu juu yenu....wengine hatupati soko ati.

Kudos kina Manka na Kyekue
 
Hahahahaha!Kuna haja ya kudanganya kabila mpaka mambo yakae vizuri ndo unasema ukweli!
 
Ebo!!! Hivi nilikuwa natafuta nini hapa sio njia hii niliyoelekezwa samahani jamani nimekosea njia
 
Mwezi uliopita kuna jamaa alikuja na bonge la tuhuma kuwa moja ya mila za Wachaga ni wababa kuwalala kimapenzi mabinti zao wa kuwazaa. Tuhuma hizi sikuziamini na bado siziamini ingawa huyo jamaa aliyezitoa alionekana kuungwa mkono na baadhi ya wadada wachache!!!

Kwenu Lizzy, JS, Nguli, na wengineo mlio Wachaga. Kuna ukweli wowote katika hilo? Au ndo yale yale tu ya mwendelezo wa kuwapaka matope Wachaga?
 
kuna jamaa alikuja na bonge la tuhuma kuwa moja ya mila za Wachaga ni wababa kuwalala kimapenzi mabinti zao wa kuwazaa. Tuhuma hizi sikuziamini na bado siziamini ingawa huyo jamaa aliyezitoa alionekana kuungwa mkono na baadhi ya wadada wachache!!!

Kwenu Lizzy, JS, Nguli, na wengineo mlio Wachaga. Kuna ukweli wowote katika hilo? Au ndo yale yale tu ya mwendelezo wa kuwapaka matope Wachaga?
Binafsi sijaona wala kusikia kwahiyo nasema HAMNA UKWELI WOWOTE!
 
Binafsi sijaona wala kusikia kwahiyo nasema HAMNA UKWELI WOWOTE!

Hata mimi ilikuwa mara yangu ya kwanza kusikia hivyo. Ila nilishangaa kidogo kuona jinsi watu, hususan baadhi ya kina dada walivyokuwa mstari wa mbele kumuunga mkono jamaa aliyekuja na hizo tuhuma.
 
Wadada wa-kichaga tena!! halaf naona wako wengi kweli kweli huku jamvini. Hebu tuendelee kuangalia watakavyojitokeza na kuvurumisha cheche zao. Aiken mae!
 
Muifoenda wamashami kunu JF, yaani wachaga hoyeeee, wanadada wa kichagga tuko juu ile mbaya
 
naomba kuuliza kwa jamii ya jf hivi wanawake wakichaga hutaka nini kwenye mapenzi??kwani mimi sioni kwawao kubembeleza penzi,kunyenyekea penzi,kuboresha penzi sa hasa nini wao upenda kwenye mapenzi??

nishakuwa na mmoja na sasa hvi nna mwingine , nimegundua wanachoangalia ni uWEzo wako KIMFUKO, na kama wataka kumwoa ataangalia future inasomeka vipi,,,,, halafu ,wengi wao wanataka uwe chini yake siku zote, ndugu yangu bila hivyo balaa.
 
Naomba kuuliza kwa jamii ya JF Hivi wanawake wakichaga hutaka nini kwenye mapenzi??Kwani mimi sioni kwawao kubembeleza penzi,kunyenyekea Penzi,Kuboresha Penzi sa hasa nini wao upenda kwenye mapenzi??
Mimi binafsi toka shule wapenzi wangu wote ni Wachagga na hata nikiamua kuoa nitaoa Mchagga,haya mapungufu mnayoyasema sijayaona,ni wakarimu,wenye heshima na wana mapenzi ya kweli.Hawapendi kudanganywa sasa labda hili ndio linalowasumbua waongo wanaowatokea na kukataliwa baada ya kugundulika.Hawapendi kuwa 'spare tairi' aidha awe pekee kwenye maisha yako au uchape lapa.Wana msimamo na wanapenda maendeleo na mwanamme mpenda maendeleo.Kama hili limekuwa tatizo basi kina Kakakiiza si mjaribu makabila mengine kwani lazima Mchagga.IN SUPPORT OF CHAGGA LADIES MKO JUU.
 
Back
Top Bottom