Nakasirika kila mara mke wangu ananiambia ananipenda. Kuna haja gani sasa?

Rio Shabazz

JF-Expert Member
Jan 18, 2024
1,334
2,168
Mke wangu kila dakika ananiambia ananipenda mpaka nakasirika.

Wataalamu kuna haja gani ya kila mara kumwambia mtu haya maneno. Mbaya zaidi ananilazimisha na mimi kila mara nimwambie maneno haya haya!

Aisee sijawai kuwa kwenye mapenzi yenye usumbufu kama haya.
 
Hata mimi sipendi kuambiwa maneno marahisi ya aina hiyo i,e nakupenda,pole,samahani etc...nafikiri tuna tatizo mkuu
 
Back
Top Bottom