Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,668
- Thread starter
- #421
Rudi tena kwa daktari unahitaji aina nyingine ya antifungalToka hali ilivyoanza ni miaka 3 sasa.Kabla ya kupima kuna vidonge flani (sivikumbuki jina) nlikula kwa siku kumi kwa maelezo ya Dr.nlipoona hakuna mabadiliko ndo nikarudi nikapima na kupewa hizo fluconazole lakini naona na zenyewe hazijasaidia!
Mfano caspofungin.Jitahidi pia uwe unaepuka vitu vinavyoweza kukusababishia fungus kama kuvaa nguo ambazo hazijakauka vizuri,za kubana sana,na chunguza mwenza/wenza wako!
Haisaidii kama wewe unatibiwa halafu unaenda tena kukutana na mtu anakuambukiza upya ni vyema mtibiwe wote.Tumia topical antifugal kupaka eneo liloathirika vilevile kama clotrimazole cream.