Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Toka hali ilivyoanza ni miaka 3 sasa.Kabla ya kupima kuna vidonge flani (sivikumbuki jina) nlikula kwa siku kumi kwa maelezo ya Dr.nlipoona hakuna mabadiliko ndo nikarudi nikapima na kupewa hizo fluconazole lakini naona na zenyewe hazijasaidia!
Rudi tena kwa daktari unahitaji aina nyingine ya antifungal

Mfano caspofungin.Jitahidi pia uwe unaepuka vitu vinavyoweza kukusababishia fungus kama kuvaa nguo ambazo hazijakauka vizuri,za kubana sana,na chunguza mwenza/wenza wako!

Haisaidii kama wewe unatibiwa halafu unaenda tena kukutana na mtu anakuambukiza upya ni vyema mtibiwe wote.Tumia topical antifugal kupaka eneo liloathirika vilevile kama clotrimazole cream.
 
Rudi tena kwa daktari unahitaji aina nyingine ya antifungal!!Mfano caspofungin.Jitahidi pia uwe unaepuka vitu vinavyoweza kukusababishia fungus kama kuvaa nguo ambazo hazijakauka vizuri,za kubana sana,na chunguza mwenza/wenza wako!Haisaidii kama wewe unatibiwa halafu unaenda tena kukutana na mtu anakuambukiza upya ni vyema mtibiwe wote.Tumia topical antifugal kupaka eneo liloathirika vilevile kama clotrimazole cream.

Nashukuru sana Dr.kwa maelezo yako na Mungu akubariki na kukuongezea uelewa zaidi ktk taaluma yako!
 
Jinsi unavyonieleza ni kama ana maumivu maeneo ya kizazi,namshauri aende hospitali akafanyiwe check up.Je hali hio inatokea baada ya tendo la ndoa au inakuja wenyewe tu??
Maumivu ya chini ya kitovu yana weza kusababishwa na mambo tofauti kama
  • Ovarian cysts
  • UTI
  • Infection kwenye kibofu cha mkojo
  • Irritable bowel syndrome
  • Bacterial or viral intestinal infection
  • Colon polypsApe
  • Apendicitis
  • Cancer ya utumbo mpana
  • Food poisoning n.k

Thanks
 
Hellow wapendwa,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!

Karibuni sana..

Dr asante sana, mke wangu amepata tatizo ana continuous breeding, tatizo limeanza hivi
Ilitakiwa aingie period tangu tarehe 15 March lakini haikutokea hivyo na aliingia period hiyo trh 30 na ilitakiwa kawaida amalize 02 April lakini damu haikukatika kabisa kwani kuanzia trh 03 April damu ilikuwa inatoka kwa matone matone, ilipofika juzi 08-09-10 mwezi huu April damu imeongezeka na anavaa pedi kupambana na adha hiyo ,
Ana umri wa miaka 40 na hajawahi tangiapo kutumia dawa za uzazi , ananyonyesha mtoto wa umri wa mwaka mmoja

Dr naomba kufahamu tatizo ni nini, na kwa kweli nifanyeje, asante Dr
 
Hellow [MENTION=94539]
Guillain-Barre syndrome ni autoimmune disease ambapo inasemekana immune system ya mwili inavamia myelin sheath ya nerve cells.Inasababisha muscle weakness,loss of reflexes,kupoteza hisia kwenye uso,miguu,mikono na hata sehem nyingine za mwili.Tiba pekee inayoweza kutumika ni intravenous immunoglobulin.

Asante sana Dr kwa ufafanuzi wako.

Hivi hiyo Intravenous immunoglobulin (IVIG) ni sindano au vidonge?

Vipi inapatikana kwenye pharmacy za Tz kweli au mpaka kuagiza nje?

Any idea on the price/dose?

Narudia kuandika asante.
 
Asante sana Dr kwa ufafanuzi wako.

Hivi hiyo Intravenous immunoglobulin (IVIG) ni sindano au vidonge?

Vipi inapatikana kwenye pharmacy za Tz kweli au mpaka kuagiza nje?

Any idea on the price/dose?

Narudia kuandika asante.
Intravenous ni sindao inayochomwa kwenye mshipa wa damu na kwenda kwenye system inawekwa inform of drip.Sina uhakika kama inapatikana Tanzania.Nakushauri uende pharmacy au uwasiliane na daktari upate uhakika juu ya hilo.
 
Mi sifahamu kama ni tatizo au nini ila ningependa kufahamu

wakati na kwenda haja huwa naona ute ute unaotoka katika uume wangu na sina maumivu yoyote na sijajamiana zaidi ya 3 year

je hali hii ni nini? kama ni ugonjwa gani ama ni vipimo gani nifanyiwe?
 
Mi sifahamu kama ni tatizo au nini ila ningependa kufahamu

wakati na kwenda haja huwa naona ute ute unaotoka katika uume wangu na sina maumivu yoyote na sijajamiana zaidi ya 3 year

je hali hii ni nini? kama ni ugonjwa gani ama ni vipimo gani nifanyiwe?
Huna tatizo mkuu!
 
Huna tatizo mkuu!
kaka naomba unisaidie tiba ya kudumu ya tonsils,

nini dawa ya kuzuia au kutibu mafua

dawa ya kikohozi kitokanacho na mafua,

nini madhara ya dawa kama
1. ampiclox
2. dawa tatu/hedex
3. metakeflin
4. amoxyln
 
Ndio nini hio?nifafanulie tafadhali!

Mkuu ya kidole mpk mkono huwa unavimba na kuuma kwa sana, yaan wenyew wanadai kuna mdudu anaingia kwenye kidole ndio huwa anafanya hvo na mpk kiive ndio unafanya upasuaj mdogo ila iko tofauti na jipu kwa maana jipu hukaa maala popote ila hii ukaa kidoleni tu
 
Dr asante sana, mke wangu amepata tatizo ana continuous breeding, tatizo limeanza hivi
Ilitakiwa aingie period tangu tarehe 15 March lakini haikutokea hivyo na aliingia period hiyo trh 30 na ilitakiwa kawaida amalize 02 April lakini damu haikukatika kabisa kwani kuanzia trh 03 April damu ilikuwa inatoka kwa matone matone, ilipofika juzi 08-09-10 mwezi huu April damu imeongezeka na anavaa pedi kupambana na adha hiyo ,
Ana umri wa miaka 40 na hajawahi tangiapo kutumia dawa za uzazi , ananyonyesha mtoto wa umri wa mwaka mmoja
Dr naomba kufahamu tatizo ni nini, na kwa kweli nifanyeje, asante Dr

Hio ni menorraghi nimeandika kwenye post za nyuma mpeleke hospitali anahitaji cyclokapron asije kupoteza dam nyingi.

Ni muhimu achekiwe kiwango cha haemoglobin, kama kimeshuka anahitaji madini ya chuma.
 
Hio ni menorraghi nimeandika kwenye post za nyuma mpeleke hospitali anahitaji cyclokapron ka anahitaji madini ya chuma.
kaka nijibu naomba unisaidie tiba ya kudumu ya tonsils,

nini dawa ya kuzuia au kutibu mafua

dawa ya kikohozi kitokanacho na mafua,

nini madhara ya dawa kama
1. ampiclox
2. dawa tatu/hedex
3. metakeflin
4. amoxyln
 
kaka nijibu naomba unisaidie tiba ya kudumu ya tonsils,nini dawa ya kuzuia au kutibu mafuadawa ya kikohozi kitokanacho na mafua,nini madhara ya dawa kama1. ampiclox2. dawa tatu/hedex3. metakeflin4. amoxyln
Mafua/tonsils vinasababishwa na infection aidha ya virusi au bacteria.Na kutambua hilo ni muhimu uchukuliwe vipimo vya damu ili kucheki CRP ili kucheki kama una infection kama ni ya bacteria CRP inakuwa juu.Infection zinazosababishwa na virusi hazitibiwi mara nyingi zinaondoka zenyewe na haziwi kali kama za bacteria.Unaweza kuchekiwa pia dalili tofauti kama
  • Tonsils kuvimba na kutengeneza kama usaha unaozunguka eneo hilo(inaweza kuchukuliwa culture yake ili kupata uhakika)
  • Maumivu kwenye koo mpaka masikioni
  • Homa
  • Maumivu ya kichwa
  • Kuvimba kwa lymph nodes kwenye shingo
Bacteria wanaosababisha inflammation kwenye tonsils mara nyingi ni Group A Streptococcus na wanatibiwa na antibiotic kwa siku 10.First choice antibiotic inayoweza kutumika ni
  1. phenoxymethypenicillin,zinaweza kutumika pia
  2. inayofata ni erythromycin au
  3. clindamycin

Athari za dawa zipo individual si watu wote wanaweza kupata inategemea mtu na mtu.Mara nyingi siwashauri wagonjwa wajiulize kuhusu athari ya dawa.Ni muhimu zaidi utibu tatizo kuliko kufikiria outcome ya dawa.Nitakutajia athari in general tu siwezi kutaja zote ni nyingi moja nikisema nitaje moja moja.Na nakuwekea link ya uzi nilouandika unaohusiana na athari za dawa uusome

Bonyeza hapa: https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/523632-side-effects-of-medication.html


  • Madhara ya antibiotic(amoxycillin + ampiclox)mara nyingi yanakwenda kwenye tumbo au kwenye uke.Ni kawaida kwa antibiotic kudisturb normal flora iliyopo kwenye tumbo/uke.Normal flora ni bacteria wazuri waliopo mwilini hasa kwenye tumbo wako wengi na uke wa mwanamke.Antibitoic zinaweza kuwadhuru si wale bacteria tu wasiohitajika mwilini kama una infection bali pia wale wazuri wanaoulinda mwili (normal flora)na hali hio hupeleka tumbo kuuma,kuhara,kupatwa na kichechef au hata kutokupata choo.Au kupata fungus kwa wanawake na kuongezeka kwa discharges kutoka kwenye uke.
  • Hedex ina paracetamol ni dawa ambayo inatumika sana katika mabara yote na ipo very safe.Ina athari kubwa ukichanganya na pombe inatengeneza sumu na ukifanya hivo kwa muda mrefu inaweza kusababisha liver toxicity.
  • Metakalfin ukipata athari kama kinyesi kubadilika rangi kuwa cheusi,kuwa na dam katika kinyesi/mkojo,maumivu kwenye mgongo/kiuno,kupatwa na vidonda kwenye ulimi,homa,misuli kukaza,maumivu ukikojoa au kutoka kwa dam/kuvia dam maeneo tofauti,unapaswa kuwasiliana na daktari ukipata athari hizi.
 
Mafua/tonsils vina.
[/LIST]
asante saaana dada gorgeousmimi, mimi nina bacterial effect-ions za tonsils na huwa natumia ampiclox lakini huwa inatibika na kurudi kwa mda mfupi nishauri nitumie dawa gani,, na nitaweza kuzitibu side effects za ampiclox na nini?
 
Last edited by a moderator:
mimi ni kijana(kiume),mwenye umri wa miaka 25. nina tatizo la kuvimba matiti.nimejaribu kupata tiba hospitalini lakini imeshindikana.kwa mara ya mwisho tiba niliyo patiwa nilichomwa sindano tatu za DICLOFENAC SODIUM na dose ya vidonge vya DICLOFENAC pamoja na VOLINI GEL kwa ajiri ya kupaka lakini sikupina.

Tatizo hili linasababishwa na nini na nini tiba yake sahii?naomba msaada wako tafadhari.
 
Hellow wapendwa,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!

Karibuni sana..
Asante sana. Ubarikiwe kwa kuamua ku share nasi kitu km hiki
 
Back
Top Bottom