Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Mbona wengine hawapati,
Miili yetu imejengwa kitofauti. Na sensitivity juu ya kitu hutofautiana kati ya mtu na mtu.

Haimaanishi kuwa hamna, ila sensitivity yake inaweza kuwa chini kulinganisha na wewe.

Kamwe hatuwezi kufanana Mkuu.
 
Dawa ya hilo tatizo oga kwa dodoki,sugua sehemu za miwasho vzuri,tumia sabuni za protection. Mwisho kabisa pima minyoo baada ya kutumia dozi kama ikiwepo tatizo litaisha au kupungua sana.

Pia chunguza viatu utakavyovyaa kisha miwasho ikawa mingi,anika juani viatu kupunguza jasho
Dr Restart Shida huwa inakua nini mpaka mtu akitembea umbali mrefu wastani, anapata tatizo la kuwashwa na miguu, akijikuna hajui akune wapi sababu akikuna hapa panawasha pale. Muwasho unaacha dakika chache mbele baada ya kuacha kutembea.
 
Miili yetu imejengwa kitofauti. Na sensitivity juu ya kitu hutofautiana kati ya mtu na mtu.

Haimaanishi kuwa hamna, ila sensitivity yake inaweza kuwa chini kulinganisha na wewe.

Kamwe hatuwezi kufanana Mkuu.
Asante kwa ushauri
 
Dawa ya hilo tatizo oga kwa dodoki,sugua sehemu za miwasho vzuri,tumia sabuni za protection. Mwisho kabisa pima minyoo baada ya kutumia dozi kama ikiwepo tatizo litaisha au kupungua sana.

Pia chunguza viatu utakavyovyaa kisha miwasho ikawa mingi,anika juani viatu kupunguza jasho
Siwezi kuoga bila dodoki
Nakunywa dawa ya minyoo kila baada ya miezi 3
Miwasho sipati kwenye mguu wa kikanyagio ila miguu hii miti sehemu ya kati na nyuma ya magoti
 
Siwezi kuoga bila dodoki
Nakunywa dawa ya minyoo kila baada ya miezi 3
Miwasho sipati kwenye mguu wa kikanyagio ila miguu hii miti sehemu ya kati na nyuma ya magoti
Kwani unatafuta dawa? Usipende kujilimbikiza madawa alimradi tu Madam.

Usipende kutembea sana juani. Kwa sababu damu hutembea kwa kasi sana. Tembea ukiona imekuwa shida, relax then tembea tena.

Au kama vipi, tembelea makalio (usafiri).
 
Nilisumbuliwa na chunusi za hormone kwa muda
kwa sasa zimeisha yapo makovu
ila tatizo upande mmoja wa uso Naona Kama Haupo sawa na mwingine Kama Umevimba
Shida itakua nini?
 
Kwani unatafuta dawa? Usipende kujilimbikiza madawa alimradi tu Madam.

Usipende kutembea sana juani. Kwa sababu damu hutembea kwa kasi sana. Tembea ukiona imekuwa shida, relax then tembea tena.

Au kama vipi, tembelea makalio (usafiri).
Sitaki dawa! Nimemjibu tu numbisa
 
Dokta mimi nina swali moja tu, nina ndugu yangu, jinsia ya kike ana miakaa 32.yeye ni mwoga kushiriki tendo la ndoa anaogopa maumivu na huwa anajikuta kesha bana miguu je r hili tatizo ni nini na je suluhisho lake ni lipi?
 
Msaada wadau hili tatizo la mguu kutokwa na kama vipele na uvimbe... Chanzo na tiba ni nn Maana tumeenda Sana hospitals zetu tunapewa tuh dawa na hatuambiwi chanzo wala ni ugonjwa gani.

Katika natural medicine knowledge, tatizo hilo hutokana na toxin tunaita hot toxin , ina arrest skin , kutengeneza uvimbe au vipele au malenge , then hukwamisha mzunguko wa damu kwenye ngozi , hivyo nutrients za kuponyesha vipele kukosekana ,

Treatment plan:
1. Clear hot toxin in blood
2 Improve Circulation

Dawa :
BloodDetox ( BD )
Clot Broker ( CB )

Tatizo hilo linakwisha kabisa !

Call +255757577995
IMG_2276.jpg
 
Huyu mgonjwa pia Ana tatizo la presha ya macho inawezekana ikawa inachangia??

Presha ya macho Ndiyo hypertension, katika nature maana yake Hot toxin / Fire toxin in blood

Mwili una energy aina 2 tu , 1. Fire property energy 2.Water property energy

Hizi energy ndizo huendesha afya ya mwili wa binadamu ,
Magonjwa yote hutegemea ni energy gani ina tatizo , haijalishi ni magonjwa ya kuambukiza au kutoambukizwa !

So presha inapokuwa juu , maana yake Fire energy imekuwa juu sana kutengeneza madhara ( Toxin)

Aina hii ya sumu , Husababisha mishipa kuharibika
Sumu hii huwa kwenye damu

So katika zetu za asili ile ya kimataifa ya kwangu , lazima kutoa sumu hiyo kwenye damu / Detox blood by BloodDetox Capsule,

Kwa sababu pia mishipa huharibika kutokana na aina hiyo ya sumu , kwa hiyo tunaimarisha mzunguko wa damu mwilini kwa Kuvunja mikwamo yaani Vimbe au damu iliyoganda kwenye mishipa ,
Ili damu ipeleke virutubisho na Oxygen kwenye Mifumo ya mwili na Kuponya magonjwa husika !
 
Attachments

  • IMG_2276.jpg
    IMG_2276.jpg
    192.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom