Najuta kuisaidia CCM kuiba KURA kwenye uchaguzi mkuu! Wana Ismani mnisamehe...

akishasema yeye ni nani na mahali alipo ndo itasaidia nini?. Hata hili ni suala muhm sana kwa mustakabali wa taifa maana 2tajua ni mbinu na njia gan wana2mia kuiba kura ili 2zibe mianya hyo
 
jamani,tulipewa hiyo pesa wote pamoja na mawakala wa vyama vingne nao wakaridhia kubatilisha matokeo...nitafute sifa gan hapa maana hakuna mtu anayenijua

MWONGO MKUBWA! Kwa sababu wewe ni mpenda pesa tena pesa ndogodogo, ili kueleza haya unayoeleza, umepewa shilingi ngapi?
 
pole sana ndugu na hongera kwa kutubu maana dhambi ili isikutese sharti utubu. mimi nimekusamehe sijui watanzania wenzangu.
 
Ikiwa Lukuvi alipita bila kupingwa je mlichakachua kura za diwani au Rais ? na ninani aliyekukabizi hizo pesa? Bila shaka majibu yako yatakuwa msaada wa kulinda kura za wananchi 2015.


Huyu jamaa hakuawa msimamizi anajaribu kutupotezea mda. Kama alikuwa kura pekee anazoweza kuchakachua ngazi ya kata ni za udiwani tu na iwapo alikuwa msimamizi mkuu wa kata. Tofauti na hapo aliweza kuchakachua kura za kituo kimoja (udiwani na Urais)kama alikuwa msimamizi wa kituo.

Nadhani lengo lake lilikuwa ni kutueleza athari za uchakachuaji kwa kutumia style aliyo ichagua
 
Huyu Tiamaji anapoteza muda wetu narudia.
Kama ni mchukia hongo kama YUDA aseme yupo wapi na nani aliwapa hiyo pesa vinginevyo ameleta mada ili aonekane kaleta habari kwenye JF.
Kama ningekuwa mie basi nataja kuwa nipo eneo fulani, pesa ilitolewa muda fulani na jamaa fulani, matokeo ye mgombea yalikuwa hivi na tikabadilisha yakawa hivi hapo ndipo tungekuwa na kuongea akatusaidia.
Kwenda na mafumbo hakuleti tija muda tuliobaki nao hauhitaji NAHAU NA METHALI bali uhalisia wenyewe.
Tiamaji 'JIVUE GAMBA UJULIKANE KAMA NI WA MOTO AU BARIDI'. Usiwe Double standard
 
Dhambi zenu zijakuwa nyekundu kama damu, zitasamehewa na mtakuwepo weupe kama theluji. Kutambua kosa na kutubu ni jambo jema.

Naomba kama ametubu kutoka ndani, na kwa kumaanisha kutorudia, tumsamehe.
 
1) Nguvu mpya Ari mpya na kasi mpya nilidhani ingetusaidia kunyanyua uchumi wetu, kumbe ilikuwa wito wa kuhujumu uchumi wetu.

2) Kilimo kwanza nilihisi itawasaidia wakulima ambao ndio wengi, kumbe inatumika kuleta WAWEKEZAJI kuiba ardhi yetu na
kuwanyanyasa wazawa na kutufanya kuwa WATUMWA NDANI YA NCHI YETU

3) Nilidhani angewashughulikia wahujumu wa uchumi, Ajabu mwanawe Ridhiwani ndani ya miaka 7, kasi ya utajiri wake ni mkubwa kiasi anaweza kulisha mkoa wa Dar-es-salaam kwa zaidi ya mwezi mmoja.

You name it, Majuto yangu kwa JK na CCM
 
SI KUJUTA TU BALI MLAANIWE NYOTE MLOMCHAGUA KWANI MADHIRA AYA TNAYOPATA NI MATOKEO YA UPUMBAFU NA UDHAIFU MLOFANYA WEWE NA WAPUMBAFU WENGINE RIL MLAANIWe
 
Laana ya ubaguzi inawaandama.......Mmemkataa Salim ambaye yuko straight ktk uongozi kwasababu za kibaguzi tu
 
SI KUJUTA TU BALI MLAANIWE NYOTE MLOMCHAGUA KWANI MADHIRA AYA TNAYOPATA NI MATOKEO YA UPUMBAFU NA UDHAIFU MLOFANYA WEWE NA WAPUMBAFU WENGINE RIL MLAANIWe
Mkuu naona lugha uliyotumia ni kali mno, kweli hii ni siasa au vita? Naomba tuelimishane kwa ustaarabu kuliko kupeana laana na kuitana majina yasiofaa.
 
Mkuu naona lugha uliyotumia ni kali mno, kweli hii ni siasa au vita? Naomba tuelimishane kwa ustaarabu kuliko kupeana laana na kuitana majina yasiofaa.

ni kawaida ...kasema kweli, na mm naongezea kuwa wote waliohusika ni mapambaf
 
Back
Top Bottom