Najuta kuisaidia CCM kuiba KURA kwenye uchaguzi mkuu! Wana Ismani mnisamehe...

Mkuu TIAMAJI, hata dhambi ulizoshawishiwa na CCM kufanya, kwenye uchaguzi wa mwaka 2005 na kweli ukafaya,

hakika hata kama dhambi ulizotenda zingekua NI NYEKUNDU KAMA DAMU lakini kwaku umeamua KUTUBU WEWE MWENYEWE KWA KINYWA CHAKO NA PIAA KUYAJUTIA kwa dhati kabisa moyoni, ni kweli kwamba dhambi zako zitakua zimesamehewa.

Na sisi wengine huku tunaendelea kukushirikisha ktika sala zetu binafsi. Ama kweli huu ni ujasiri na moyo wa uzalendo uliojee!!!!!!!!!!!!!!!!!

Jaman wanaJF wazima?

Mimi mwaka 2005 milikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi ktk kata moja iliyopo ktk jimbo la Ismani(kwa Lukuvi),kiukweli tulichakachua sana matokeo yan sikutangaza matokeo halisi, nilipewa laki 2 na kuipendelea CCM.

Najutia hayo maana leo ndo nimeenda kijiji kimoja kilichopo jimbon humo hali ni mbaya yan barabara mbovu sana (km 60 tu toka mjin but unatumia masaa4), hakuna hospitali,maji safi,shule zimechoka na kila aina ya ubovu.

Naona mateso wanayopata watu wale yanatokana na uamuz wangu wa kuchakachua matokeo. Naombeni wanaismani na tanzania kwa ujumla mnisamehe, najuta nimegundua CCM ni janga na hatari kwa maisha ya watanzania.
 
Jaman wanaJF
wazima?

Mimi mwaka 2005 milikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi ktk kata moja
iliyopo ktk jimbo la Ismani(kwa Lukuvi),kiukweli tulichakachua sana
matokeo yan sikutangaza matokeo halisi, nilipewa laki 2 na kuipendelea
CCM.

Najutia hayo maana leo ndo nimeenda kijiji kimoja kilichopo jimbon humo
hali ni mbaya yan barabara mbovu sana (km 60 tu toka mjin but unatumia
masaa4), hakuna hospitali,maji safi,shule zimechoka na kila aina ya
ubovu.

Naona mateso wanayopata watu wale yanatokana na uamuz wangu wa
kuchakachua matokeo. Naombeni wanaismani na tanzania kwa ujumla
mnisamehe, najuta nimegundua CCM ni janga na hatari kwa maisha ya
watanzania.

mie nakuona mzushi!Ila unanipa somo kwamba mawakala wa vyama vyote walikula rushwa!so suala hili bado tatizo pande zote?duh!
 
jaman wanajf wazima?

Mimi mwaka 2005 milikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi ktk kata moja iliyopo ktk jimbo la ismani(kwa lukuvi),kiukweli tulichakachua sana matokeo yan sikutangaza matokeo halisi, nilipewa laki 2 na kuipendelea ccm.

Najutia hayo maana leo ndo nimeenda kijiji kimoja kilichopo jimbon humo hali ni mbaya yan barabara mbovu sana (km 60 tu toka mjin but unatumia masaa4), hakuna hospitali,maji safi,shule zimechoka na kila aina ya ubovu.

Naona mateso wanayopata watu wale yanatokana na uamuz wangu wa kuchakachua matokeo. Naombeni wanaismani na tanzania kwa ujumla mnisamehe, najuta nimegundua ccm ni janga na hatari kwa maisha ya watanzania.

ukamuombe mungu msamaha.................................akuondolee laana hiyooo ya dhambi ya asili ya wana-ccm wote isiwapate wanao.......umelaaniwa..........., halafu unanaona fahari kuja kijitangaza hapa........nyambafu we!
 
Kweli hili janga limesababishwa na wengi

Mtoa mada dadavua na utujuze kuwa wagombea walikuwa ni akina nani na nani alishinda na je ulikuwa uchaguzi wa ndani ya CCM au wa ubunge na vyama gani vya siasa vilishiriki. Naona kama uzushi flani hivi?.
 
"MCHUMA JANGA HULA NA WAKWAO...!''Mlijali matumbo na nafsi zenu. Mkatuchumia janga kwa kuingiza viongozi wabovu na DHAIFU madarakani kwa hila na ghiliba.Sasa tunasota wote! Shame be upon you....!!!
 
Waliofanya uchakachuzi 2005 wako wengi sana hapa nchini lakini wanaorudi na kuomba msamaha ni wachache. Naomba asamehewe na asirudie tena.
 
Namshauri aende kwenye kata ile aombe kufanya mkutano wa kata, aombe msamaha.
 
Ni heri wewe umesema. Elezea kwa kina mkakati ulivyoenda; kura gani mlizochakachua, za serikali ya mtaa, udiwani, ubunge, urais, zipi hizo? Na je ulishangilia ushindi wa uliyemchakachulia matokeo? Ulijisikiaje? Kumbuka LAANA hii ingali malangoni pako. Kadiri wanyonge ambao unyonge na umasikini wao umetokana na serikali ya CCM; wanavyolalama na kumpazia Mungu wa Mbinguni sauti na vilio vyao. kwa shida na dhiki waliyonayo, wanafiwa na wajawazito, watoto wao, albino wanauawa hakuna anayejali serikalini, damu za wote hao zina mkono wako wewe na wachakachuaji wenzio. Ole wenu.....ole wenu. Mungu hatonyamaza milele juu ya damu ya watu hao wote. OLE WENU!
 
Nenda kwa Gamanywa ndiko utakutana na Mkenya mwenzio baada ya kuungama Kova atakutafutia gesti isiyohitaji malipo
 
Kaitishe mkutano wa hadhara huko kwenye hicho kijiji ingekuwa vema ila humu JF hakuna atakayekusamehe mnafiki mkubwa wewe.
 
kama nikweli ulifanya, na ni kweli unatubu kwa Mungu na kwa watu wakomavy umesamehewa na utakuw amtu muhimu sana kuwakomboa watu.Sijui motive yako nini ila ni mafano mzuri.

Mario Jones alitubu kuwa aliwahi pewa dawa za kuongeza nguvu, na alisimamia hilo hata pale alipotakiwa rudisha medal zote na kuwekwa ndani miezi kadhaa.Last time nikimwangalia katik interview ya CNN kapendeza,anaongea kwa busara na uhuru mkubwa sana.Simply ana amani ya roho na hana cha kuhofia mara asikiapo watu waki alala kuwa kuna "cheating", au hata kujisikia guilty mara amuonapo mtu mtu aliyemnyima gold medal kwa kudanganya.

Kama wewe umeona na kusikitikia mateso ya watu basi umeshajikomboa kwenye hayo mapema zaidi ya wale waliobaki huko.
 
kama nikweli ulifanya, na ni kweli unatubu kwa Mungu na kwa watu wakomavy umesamehewa na utakuw amtu muhimu sana kuwakomboa watu.Sijui motive yako nini ila ni mafano mzuri.

Marion Jones alitubu kuwa aliwahi pewa dawa za kuongeza nguvu, na alisimamia hilo hata pale alipotakiwa rudisha medal zote na kuwekwa ndani miezi kadhaa.Last time nikimwangalia katik interview ya CNN kapendeza,anaongea kwa busara na uhuru mkubwa sana.Simply ana amani ya roho na hana cha kuhofia mara asikiapo watu waki alala kuwa kuna "cheating", au hata kujisikia guilty mara amuonapo mtu mtu aliyemnyima gold medal kwa kudanganya.

Kama wewe umeona na kusikitikia mateso ya watu basi umeshajikomboa kwenye hayo mapema zaidi ya wale waliobaki huko.
 
Jaman wanaJF wazima?

Mimi mwaka 2005 milikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi ktk kata moja iliyopo ktk jimbo la Ismani(kwa Lukuvi),kiukweli tulichakachua sana matokeo yan sikutangaza matokeo halisi, nilipewa laki 2 na kuipendelea CCM.

Najutia hayo maana leo ndo nimeenda kijiji kimoja kilichopo jimbon humo hali ni mbaya yan barabara mbovu sana (km 60 tu toka mjin but unatumia masaa4), hakuna hospitali,maji safi,shule zimechoka na kila aina ya ubovu.

Naona mateso wanayopata watu wale yanatokana na uamuz wangu wa kuchakachua matokeo. Naombeni wanaismani na tanzania kwa ujumla mnisamehe, najuta nimegundua CCM ni janga na hatari kwa maisha ya watanzania.
Mkuu naomba namba yako unipe mbili tatu kuhusu kuiba Kura na gharama za kuiba
 
Jaman wanaJF wazima?

Mimi mwaka 2005 milikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi ktk kata moja iliyopo ktk jimbo la Ismani(kwa Lukuvi),kiukweli tulichakachua sana matokeo yan sikutangaza matokeo halisi, nilipewa laki 2 na kuipendelea CCM.

Najutia hayo maana leo ndo nimeenda kijiji kimoja kilichopo jimbon humo hali ni mbaya yan barabara mbovu sana (km 60 tu toka mjin but unatumia masaa4), hakuna hospitali,maji safi,shule zimechoka na kila aina ya ubovu.

Naona mateso wanayopata watu wale yanatokana na uamuz wangu wa kuchakachua matokeo. Naombeni wanaismani na tanzania kwa ujumla mnisamehe, najuta nimegundua CCM ni janga na hatari kwa maisha ya watanzania.
Lakini mbona wenzio wa Kijani wanatba mtandaoni mama Katoa mamilioni!
Kweli maCCM ni wezi !!
 
Jaman wanaJF wazima?

Mimi mwaka 2005 milikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi ktk kata moja iliyopo ktk jimbo la Ismani(kwa Lukuvi),kiukweli tulichakachua sana matokeo yan sikutangaza matokeo halisi, nilipewa laki 2 na kuipendelea CCM.

Najutia hayo maana leo ndo nimeenda kijiji kimoja kilichopo jimbon humo hali ni mbaya yan barabara mbovu sana (km 60 tu toka mjin but unatumia masaa4), hakuna hospitali,maji safi,shule zimechoka na kila aina ya ubovu.

Naona mateso wanayopata watu wale yanatokana na uamuz wangu wa kuchakachua matokeo. Naombeni wanaismani na tanzania kwa ujumla mnisamehe, najuta nimegundua CCM ni janga na hatari kwa maisha ya watanzania.
Je umeshahama CCM ili usamehewe kikamilifu?
 
Hiyo laki mbili ulipewa na nani?katika kata hiyo ni nani alishinda?na wakala wa vyama vingine hawakuwepo au na wao walipewa fedha vilevile?
Mawakala most of them huwa ni njaa kali hasa huko vijijini !
 
Jaman wanaJF wazima?

Mimi mwaka 2005 milikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi ktk kata moja iliyopo ktk jimbo la Ismani(kwa Lukuvi),kiukweli tulichakachua sana matokeo yan sikutangaza matokeo halisi, nilipewa laki 2 na kuipendelea CCM.

Najutia hayo maana leo ndo nimeenda kijiji kimoja kilichopo jimbon humo hali ni mbaya yan barabara mbovu sana (km 60 tu toka mjin but unatumia masaa4), hakuna hospitali,maji safi,shule zimechoka na kila aina ya ubovu.

Naona mateso wanayopata watu wale yanatokana na uamuz wangu wa kuchakachua matokeo. Naombeni wanaismani na tanzania kwa ujumla mnisamehe, najuta nimegundua CCM ni janga na hatari kwa maisha ya watanzania.
Tatizo hata usipo taka kuisaidia kwa hiyari utaisaidia kwa lazima na mtutu wa bunduki ukiwa nyumba yako nadhan umenielewa hapa
 
Back
Top Bottom