Jaman wanaJF wazima?,mimi mwaka 2005 milikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi ktk kata moja iliyopo ktk jimbo la Ismani(kwa Lukuvi),kiukweli tulichakachua sana matokeo yan sikutangaza matokeo halisi,.nilipewa laki 2 na kuipendelea CCM.
Najutia hayo maana leo ndo nimeenda kijiji kimoja kilichopo jimbon humo hali ni mbaya yan barabara mbovu sanaa(km 60 tu toka mjin but unatumia masaa4),hakuna hospitali,maji safi,shule zimechoka na kila aina ya ubovu.
Naona mateso wanayopata watu wale yanatokana na uamuz wangu wa kuchakachua matokeo..naomben wanaismani na tanzania kwa ujumla mnisamehe,najuta nimegundua CCM ni janga na hatari kwa maisha ya watanzania.
Kama kweli umetubu,nipe jina lako kwa PM