Najuta kuisaidia CCM kuiba KURA kwenye uchaguzi mkuu! Wana Ismani mnisamehe...

Wote mliompa kura Jk mlaaniwe.

Je kugundua makosa yangu ndio laana yenyewe? Kuna njia nyingi za kujifunza, but I did choose the hard way to learn and now I am at the point of no return. I am going every where to tell "WAPUMBAF" WENZANGU 2015 NO CCM. Kwa kufaya hivyo labda naweza kubarikiwa baada ya kulaaniwa
 
Pigo kutoka kwa MUNGU.Wengi mnaangamia kwa kukosa maarifa
 
JK ni chaguo la Mungu acheni kulalamika hata askofu wa Katoliki mhasham Methidis Kilaini alisema so acheni kulalamika tumshukuru Mungu kwa kila jambo maana hatujui kwa nini aliamua kama alivoamua
 
Dr. Jakaya Kikwete hana mpinzani
1. mwaka 2005 alimwaga DJ Mbowe
2. mwaka 2010 alimpa kipigo cha mbwa mwizi Padre Mtoro Dr. Slaa
 
unachojuta ni nini hebu tueleze barabara ikijengwa jimbo la Msigwa ina maana ikifika Isimani itaruka mpaka Arusha? mbona Mtera, Chamwino, Dodoma, Kondoa mpaka Babati bado?
Wizara ndio inayojenga barabara, kupitia serikali ya CCM, sasa hizo kura wape walioshinda kwani kulikuwa na vyama vingi na washinde basi walete hizo Dispensary peke yake huko Isimani
 
JK ni chaguo la Mungu acheni kulalamika hata askofu wa Katoliki mhasham Methidis Kilaini alisema so acheni kulalamika tumshukuru Mungu kwa kila jambo maana hatujui kwa nini aliamua kama alivoamua
Kama kweli JK ni chaguo la Mungu, Simwamini tena huyo mungu, hospitali hazina madawa, watoto wanazaliwa sakafuni, ajari kila siku, piliccm wanatuua kila siku. Na JK na serikali yake inawalinda MAFISADI, wahujumu wa uchumi.
 
Jaman wanaJF wazima?

Mimi mwaka 2005 milikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi ktk kata moja iliyopo ktk jimbo la Ismani(kwa Lukuvi),kiukweli tulichakachua sana matokeo yan sikutangaza matokeo halisi, nilipewa laki 2 na kuipendelea CCM.

Najutia hayo maana leo ndo nimeenda kijiji kimoja kilichopo jimbon humo hali ni mbaya yan barabara mbovu sana (km 60 tu toka mjin but unatumia masaa4), hakuna hospitali,maji safi,shule zimechoka na kila aina ya ubovu.

Naona mateso wanayopata watu wale yanatokana na uamuz wangu wa kuchakachua matokeo. Naombeni wanaismani na tanzania kwa ujumla mnisamehe, najuta nimegundua CCM ni janga na hatari kwa maisha ya watanzania.

Kama ni kweli sio mkereketwa wa CDM,usiishie kutuomba sisi wana Ismani msamaha tu,ila muombe msamaha Mungu pia.Uliyofanya yana very far reaching repercussions.Kumbe wanawalipa hela kiduchu namna hiyo.Wajinga sana.
 
jamani,tulipewa hiyo pesa wote pamoja na mawakala wa vyama vingne nao wakaridhia kubatilisha matokeo...nitafute sifa gan hapa maana hakuna mtu anayenijua

Tunakujua! Wewe si ni yule uliyesimamia uchaguzi wa 2005 kule Ismani na ukapokea rushwa ya Sh.200,000/= na kutangaza ushindi kwa chama chetu cha Mapinduzi na sasa unaomba msamaha kwa wana JF na unatumia ID ya Tiamaji? au siyo wewe?
 
Kwanza jiulize mpo wangapi katika hilo. Ndiyo uje kutuambia kuwa ulipewa laki mbili nenda zako huko

endelea kulewa comoni, Kwanza huna adabu kabisa huo ni uuaji mkubwa tena kaa kimya wasijekukusikia

Maaana watakuchinja hivihivi ukiwa mzima
 
Kaungame kwa watu wako uliko wadhurumu haki yao.Hivi wewe katika eneo hilo hukuwa na kaka,shangazi ,binamu,mjomba nk?ulidhani mateso hayo yangempata nani zaidi ya hao ndugu zako?laki 2 uliitumie siku ngapi?,kiasi cha kuzorotesha maendeleo ya nduguzo? kajenge wewe barabara hizo kwa laki 2 hizo ulizopewa

Kweli hili janga limesababishwa na wengi
 
Na hiyo dhambi itakuandama kila utakapokwenda. Ubinafsi wenu wa kupenda kupewa samaki badala ya kuomba ufundishwe kuvua samaki ndo unaoliangamiza taifa hili!!!!
 
bila shaka wakuu huyu jamaa kakurupuka anyoshe malezo tumwombee 2mshauri ili hiyo roho yauchakachuaji imwachiye
 
Jaman wanaJF wazima?

Mimi mwaka 2005 milikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi ktk kata moja iliyopo ktk jimbo la Ismani(kwa Lukuvi),kiukweli tulichakachua sana matokeo yan sikutangaza matokeo halisi, nilipewa laki 2 na kuipendelea CCM.

Najutia hayo maana leo ndo nimeenda kijiji kimoja kilichopo jimbon humo hali ni mbaya yan barabara mbovu sana (km 60 tu toka mjin but unatumia masaa4), hakuna hospitali,maji safi,shule zimechoka na kila aina ya ubovu.

Naona mateso wanayopata watu wale yanatokana na uamuz wangu wa kuchakachua matokeo. Naombeni wanaismani na tanzania kwa ujumla mnisamehe, najuta nimegundua CCM ni janga na hatari kwa maisha ya watanzania.

hahhahhahhaha wtakutafuta TAKE CARE
 
Atleast has shown maturity. Ni watu wachache sana wanaoweza kuja mbele ya ummaa na kutubu, kwa kweli nimeipenda sana spirit yako mkuu. Nataraji ume dhamiria kutubu kikweli na hii ni 1st stage. Bravo
 
Back
Top Bottom