Najitolea kuwa wakili wa Lulu

fabinyo

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,991
2,109
toka kanumba amefariki sioni mtu yeyeto anayemsema vizuri binti huyu,lawama zote zipo juu yake kwa vile tu alikuwa wa mwisho kuwa nae!kwangu ni kama kuangukiwa na jumba bovu,anajitolea kumpa msaada wa kisheria bure kunusuru maisha ya mtoto huyo japo nako ni mapepe,kaliambiwa katulie kasome wapi!!anyone with the same idea?umoja ni nguvu
 
kwi kwi kwii, sasa mwenyewe ushaanza kukaponda na kuprove kwamba kweli kameangukiwa na hilo jumba bovu, tukusaidieje?
 
Sasa unatangaza hapa ili iweje? Nenda lupango ukamjulishe.

sijaona ubaya wakutangaza hapa, nadhani ni vema tumpe ushauri kwa hiyo nia yake.
Nadhani hapa jf ni mahali stahili kabisa.
 
Kama unajua sheria na ni mpenda haki nenda kamuwakilishe Lulu. Lakini naona hakuna kesi ya kujibu pale faili likipelekwa kwa DPP litarud hakuna kesi ya kujibu pale. Si ilikuwa self defence ile? or either accident?
 
Nenda kamtetee maana akshatoka atakutafuta umuoe kabisa ili nawe ufaidi **** yake tamu sana.
 
sijaona ubaya wakutangaza hapa, nadhani ni vema tumpe ushauri kwa hiyo nia yake.
Nadhani hapa jf ni mahali stahili kabisa.
Ubaya wewe uwezi kuuona maana una macho lakini huoni,kwa kifupi JF siyo sehemu ya kumuimbia pambio shetani.
 
kwa hiyo mawakili kupitia hiyo fani yao ni waimba pambio za shetani?.pia nikufahamishe tu kua ni vema ujipange kabla hujachangia mdau,ok!
 
sijaona ubaya wakutangaza hapa, nadhani ni vema tumpe ushauri kwa hiyo nia yake.
Nadhani hapa jf ni mahali stahili kabisa.

asante kwa utetezi wako,yaani lizzy anaroho mbaya
 
kwa hiyo mawakili kupitia hiyo fani yao ni waimba pambio za shetani?.pia nikufahamishe tu kua ni vema ujipange kabla hujachangia mdau,ok!
Wewe hapa umejipanga kitu gani?.....unataka kumsaidia Lulu fine is up to you, nenda pale Police ukamueleze nia yako ya kumsaidia unapokuja kuuliza hapa jamvini ili iweje? au mnafurahia porojo zitawale muda wote hapa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom