Najitolea kuwa wakili wa Lulu

Kama unajua sheria na ni mpenda haki nenda kamuwakilishe Lulu. Lakini naona hakuna kesi ya kujibu pale faili likipelekwa kwa DPP litarud hakuna kesi ya kujibu pale. Si ilikuwa self defence ile? or either accident?

yah,if there wea a fight,she just used minimal force
 
Wewe hapa umejipanga kitu gani?.....unataka kumsaidia Lulu fine is up to you, nenda pale Police ukamueleze nia yako ya kumsaidia unapokuja kuuliza hapa jamvini ili iweje? au mnafurahia porojo zitawale muda wote hapa?

u hate her,lakini chumbani kwako ndio muangaliaji mkubwa wa filamu zake!!
 
kwi kwi kwii, sasa mwenyewe ushaanza kukaponda na kuprove kwamba kweli kameangukiwa na hilo jumba bovu, tukusaidieje?
just to show ni kweli kana pilika nyingi ila haimzuii kutetewa
 
u hate her,lakini chumbani kwako ndio muangaliaji mkubwa wa filamu zake!!

You pretend to know Matola but u know nothing about Matola, Mimi kwangu binafsi hata Nigerian movie hazikidhi mahitaji ya ubongo wangu, Sinema zangu ni za James Bond, Wisley snipes, Brad Pitt, Jason Stattam, Reonaldo Di Camprio, Angeline Jolie na wengine ambao wanafit kwenye Category hii.

Bongo ninachoweza ni kuangalia Comedy za King Majuto, Mzee Jangala na hawa baadhi wanaitwa sijui vingwendu, The comedy hawana nafasi katika ubongo wangu.

Msimamo wangu huu haunipofushi kujuwa kwamba Kanumba was a hard worker na alikuwa anafanya vizuri kwa mashabiki wake lakini siyo kwangu, na huyu Lulu badly ndiyo nimemjuwa/kumfahamu mwaka huu baada ya thread zake kushika kasi, maana ilikuwa vigumu mimi kumjuwa mapema tatizo mimi si msomaji wa magazeti ya udaku wala website za kidaku na hata hapa JF jukwaa la celebrity nimeanza kulitembela mwaka huu.
 
Kama unajua sheria na ni mpenda haki nenda kamuwakilishe Lulu. Lakini naona hakuna kesi ya kujibu pale faili likipelekwa kwa DPP litarud hakuna kesi ya kujibu pale. Si ilikuwa self defence ile? or either accident?
Sio mtaalamu wa sheria, lakini vipi kuhusu kosa la 'kuua bila kukusudia'?
 
toka kanumba amefariki sioni mtu yeyeto anayemsema vizuri binti huyu,lawama zote zipo juu yake kwa vile tu alikuwa wa mwisho kuwa nae!kwangu ni kama kuangukiwa na jumba bovu,anajitolea kumpa msaada wa kisheria bure kunusuru maisha ya mtoto huyo japo nako ni mapepe,kaliambiwa katulie kasome wapi!!anyone with the same idea?umoja ni nguvu

una lako jambo! hizo ni tamaa za mwili zinakusumbua, huna lolote!
 
toka kanumba amefariki sioni mtu yeyeto anayemsema vizuri binti huyu,lawama zote zipo juu yake kwa vile tu alikuwa wa mwisho kuwa nae!kwangu ni kama kuangukiwa na jumba bovu,anajitolea kumpa msaada wa kisheria bure kunusuru maisha ya mtoto huyo japo nako ni mapepe,kaliambiwa katulie kasome wapi!!anyone with the same idea?umoja ni nguvu

ACHENI MANENO MENGI KTK MITANDAO

nimemsikia mama yake lulu(mama kalugira) akilalamika kuwa mpaka leo hii haja mwona mtu anaehusika na mambo ya kisheria kwenda kumsaidia,kwani ktk kipindi hiki cha mahojiano na polisi alihitaji sana msaada wa wanasheria kutokana na umri wake,lakini nyie mmebaki kupiga kelekele ktk mitandao ya kijamii
 
hatua zimeishachukuliwa mdogo wangu
 
toka kanumba amefariki sioni mtu yeyeto anayemsema vizuri binti huyu,lawama zote zipo juu yake kwa vile tu alikuwa wa mwisho kuwa nae!kwangu ni kama kuangukiwa na jumba bovu,anajitolea kumpa msaada wa kisheria bure kunusuru maisha ya mtoto huyo japo nako ni mapepe,kaliambiwa katulie kasome wapi!!anyone with the same idea?umoja ni nguvu

Jack Daniel's at work!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom