"siijui cv yake kwa ukamilifu, ila huyu dada ni master's holder kutoka UK kama sikosei mambo ya economic. ni MKE wa watu na kaolewa hapa hapa Zanzibar na Mznzibari sio vingunguti kama unavyoeleza. ni kijana mdogo tu hata 35 yrs sifikiri kama anafika, akifanya kazi Wizara ya Fedha hapa Znz. sijamsikia hiyo lafudhi alotumia huko bungeni, ila ni dada anayejiamini, na muelewa wa mambo na mwenye msimamo"
Wewe acha fix zako. Kasoma Uingereza wapi? Huyu amemaliza MBA hapa Open University of Tanzania nadhani 2010. Amekuwa akibebwabebwa tu. Ametokea wizara ya fedha zanzibar km mkurugenzi wa fedha za kigeni.