Naibu waziri wa fedha Saada Mkuya Salim hawezi kuongea kiswahili vizuri

"siijui cv yake kwa ukamilifu, ila huyu dada ni master's holder kutoka UK kama sikosei mambo ya economic. ni MKE wa watu na kaolewa hapa hapa Zanzibar na Mznzibari sio vingunguti kama unavyoeleza. ni kijana mdogo tu hata 35 yrs sifikiri kama anafika, akifanya kazi Wizara ya Fedha hapa Znz. sijamsikia hiyo lafudhi alotumia huko bungeni, ila ni dada anayejiamini, na muelewa wa mambo na mwenye msimamo"



Wewe acha fix zako. Kasoma Uingereza wapi? Huyu amemaliza MBA hapa Open University of Tanzania nadhani 2010. Amekuwa akibebwabebwa tu. Ametokea wizara ya fedha zanzibar km mkurugenzi wa fedha za kigeni.
 
Wewe acha fix zako. Kasoma Uingereza wapi? Huyu amemaliza MBA hapa Open University of Tanzania nadhani 2010. Amekuwa akibebwabebwa tu. Ametokea wizara ya fedha zanzibniar km mkurugenzi wa fedha za kigeni.

"nilielezea kama sikosei, kama wewe unajua zaidi basi itakuwa upo sahihi, samahani kwa hilo, ila huyu dada kasoma UK itakuwa ni first degree yake au advance diploma, na aliwahi pia kusoma nchini malaysia, i stand to be corrected"

 
Simply huyu dada mi namuona kichwa kwa nilivyomsikia kama mara tatu hivi. Najua ni masters holder halafu anajiami sana. Ngeli zimelala hapo najua atamfaa sana mnyalu kwenye mainternational presentations. Tumpe muda jamani
 
picha ya huyu mama ikiwekwa kwenye noti tutagombania ajabu itapendeza kama itakuwa kwenye noti za 10,000

Ningekuwa mwanamume ningeuuliza kama kaolewa au la????????????

Na yeye amtazamaye mwanamke na kumtamani -- amezini naye-- tafadhali tuangalie uzito wa hoja na mwelekeo wa kujenga taifa. kwanini kumtamani mke wa mtu... vibaya hivyo...
 
Hajazoea tu Mjengo kama Tundu Lisu na Halima Mdee. Tumwombee asije badilika na kuwa mwizi wa pesa zetu kama Mkulo.
 
asante sana dotworld kwa hii kitu...nilikuwa nina ham sana ya kumuona maana nilikuwa naskia sauti yake tu...ana lafudhi kama ya maua daftari...
.
IMG_1446--5.JPG

Mtego wa Noti Mbunge wa Kuteuliwa Saada Mkuya Salum akiapa Bungeni Mjini Dodoma Juni 12, 2012​
 
Simply huyu dada mi namuona kichwa kwa nilivyomsikia kama mara tatu hivi. Najua ni masters holder halafu anajiami sana. Ngeli zimelala hapo najua atamfaa sana mnyalu kwenye mainternational presentations. Tumpe muda jamani
Hivi ni master Holder au ni master candidate open university?
 
Last edited by a moderator:
Huyu sijui mkuu wa kaya kamtoa wapi nae, yani nchi yetu bwana full vituko. Yani ukiwa karibu na zile familia saba zinazoongoza nchi basi maisha raha mstarehe.
 
Jameni huyu Naibu waziri wa fedha aliye pewa ulaji (kuteuliwa) na JK ana niudhi na kizungu chake, kila sekunde 30 kidhungu, duuh! Mm nakifahamu vzr ila mama yangu na bibi yangu kule kijijini wala hawampati kabisa. Sijui Kangi Lugora hajamwona ampe mwongozo wa lugha sahihi ya Kiswahili? Yaani mara kwa mara aki itwa pale mbele kidhungu tu. Jameni nambieni huyu ni mtoto wa nani hapa Bongo na amesomea wapi? Ilikuweka kumbukumbu sawa wadau.

Ebu tumshauri kidogo.
 
unasumbuliwa na wivu wa kike

Kimsingi, hakuna haja ya kutukana au kulaumu hapa. Tunahitaji kuona, huyo Naibu Waziri anaongea lugha ambayo walengwa ambao ni wananchi, si wote wanaofahamu English. Katika kufikisha ujumbe sahihi kwa walengwa lugha ni jambo la kwanza. Huyo Naibu Waziri, anaongea Kiingereza, lugha ambayo haieleweki kwa walengwa. Hili ni kosa ambalo halipaswi kuendelea. Ni shuruti huyu Kiongozi ajifunze kiswahili au aondolewe kwenye nafasi hiyo hadi atakapokuwa na uwezo wa kuongea lugha inayofahamika kwa wananchi.
 
"siijui cv yake kwa ukamilifu, ila huyu dada ni master's holder kutoka UK kama sikosei mambo ya economic. ni MKE wa watu na kaolewa hapa hapa Zanzibar na Mznzibari sio vingunguti kama unavyoeleza. ni kijana mdogo tu hata 35 yrs sifikiri kama anafika, akifanya kazi Wizara ya Fedha hapa Znz. sijamsikia hiyo lafudhi alotumia huko bungeni, ila ni dada anayejiamini, na muelewa wa mambo na mwenye msimamo"

Mkuu! hapo kwenye rangi nyeusi, nahisi Vingunguti inahusika... teh teh!
 
Mtu anateuliwa from nowhere,halafu anapewa ubunge wa kuteuliwa!
Yeye na mwenzake "Dr " Mgimwa sio economists!
 
jameni huyu naibu waziri wa fedha aliye pewa ulaji (kuteuliwa) na jk ana niudhi na kizungu chake, kila sekunde 30 kidhungu, duuh! Mm nakifahamu vzr ila mama yangu na bibi yangu kule kijijini wala hawampati kabisa. Sijui kangi lugora hajamwona ampe mwongozo wa lugha sahihi ya kiswahili? Yaani mara kwa mara aki itwa pale mbele kidhungu tu. Jameni nambieni huyu ni mtoto wa nani hapa bongo na amesomea wapi? Ilikuweka kumbukumbu sawa wadau.

Ebu tumshauri kidogo.

sasa kama wabunge wote wa ccm ni mamburula ulitegemea jk atafute wapi wa kuziba nafasi hiyo ? Si ndiyo maana akaamua kujiokotea barabarani muhongo na huyo dada ! Afanyeje sasa ?
 
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Master Of Finance20082010MASTERS DEGREE
Business Study19971999ADV DIPLOMA
Courses for The Second Degree in Business20002002CERTIFICATE
Lumumba'A' Level19931995HIGH SCHOOL
Hamamni'O' Level19891992SECONDARY
KisiwanduiPrimary Certificate19821988PRIMARY
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From To
CCMDupety Minister of Finance2012
Zanzibar Commissioner of Finance2011
Treasure ZanzibarAdministratve Officer2006
Treasure ZanzibarOfficer2003
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
CCMMember2000


speakerz.png


members.png
Hon.Mukya John Joyce
1600.jpg

Special Seat


searchmp.png

event.png

«««November 2013»»»
SunMonTueWedThuFriSat
1 2
3 4 5 6 7 8 9
10 11 12 13 14 15 16
17 18 19 20 21 22 23
24 25 26 27 28 29 30
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom