Hayo maamuzi magumu yaliyofanywa na JK yako wapi?
Duuu! Huyu jamaa ni KILAZA
Tume ya Pinda ianze na Naibu Waziri.
Haya ni ya kweli. Mimi nilisoma na Naibu waziri pamoja na Dick Mulungu.acheni wivu wa kijinga huyu alifanyiwa vetting kabla ya kupewa uwaziri siyo mnakurupukia hoja kama mko chooni
Form six alipata div.4
Kweli elimu imekamatwa na kilaza wa kutupwa.