Swali kwa Katambi: Waliorejeshwa kazini ni Darasa la 7 au waliofoji vyeti?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,048
49,731
Swali Kwa Katambi.

Waliorejedhwa kazini ni Standard 7 au Waliofoji vyeti?

=========

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobasi katambi amezungumza kwa niaba ya serikali kuhusu Madai ya malimbikizo ya mishahara kwa watumishi wa uma wenye kiwango cha Elimu ya Darasa la saba waliondolewa kazini na kisha kurudishwa kazini kwasababu mbali mbali ikiwemo kufoji vyeti, amesema tayari serikali imeanza kulipa fedha, hizo mpaka sasa shilingi billion 44. 5, zimelipwa ambazo ni Sawa na asilimia 99.9.

Mhe. Katambi ameyasema hayo katika kikao cha Baraza kuu Cha chama cha Wafanyakazi wa serikali za mitaa kilichofanyikia jijini Dodoma Leo Tarehe 15/1/2024

 
Back
Top Bottom