Naibu Waziri Elimu katika kashfa vyeti

Kwa Tanzania yetu huyu naye kujiuzuru anaona hatari gani jamani?

Unasubiri ni Mulungu, Mulugo nk, unasubiri tume

Kaa pembeni ufanye kazi yako ya Ubunge nk
 
Hayo maamuzi magumu yaliyofanywa na JK yako wapi?

Maamuzi magumu haya hapa:

1) kabla ya uteuzi rais alipaswa jua cv ya huyo jamaa (usiniulize angejuaje maana hamkawii kuuliza maswsli ya ajabu)

2) kwa mtandao wake kama rais alijua cv ya huyu jamaa ( bilashaka ilikuwa kama ilivyo hapa jf). Akamteua jamaa- kwa hali ya kawaida haya ni maamuzi magumu sana.

No. 1 na 2 kama havikufanywa makusudi then something is wrong in the system.
 
Duuu! Huyu jamaa ni KILAZA

There is fiction and non fiction in literary work of arts. tatizo uliishia la saba kama Mulugo hata uliporisiti kwa kuiba jina la mtu hukutoka ndio maana umeshindwa kuelewa thread. ila sio kosa lako, ni kichwa chako kibovu kama cha Mulugo.
 
Mulugo angekuwa na busara angeachia ngazi kabla hajafukuzwa kwa aibu. Sina hamu na hii movie!!
 
acheni wivu wa kijinga huyu alifanyiwa vetting kabla ya kupewa uwaziri siyo mnakurupukia hoja kama mko chooni
Haya ni ya kweli. Mimi nilisoma na Naibu waziri pamoja na Dick Mulungu.

Wengine ambao tulisoma nao hawa hapa:

1. Davis Fabian
2. Nelson Kaminyoge
3. Weston Ndomba
4. Theofil Nguruwe
5. Aggrey Kusala Luambano
6. Amani Gibson
7. Sais Kyejo
8. O. Simbo huyu yuko UK kwa sasa.

Hawa wote tunaweza kuwa mashahidi.
 
Nasema tena, usalama wa taifa kimekuwa ni kichaka, a brotherhood of crooks and mafia type. How could they vet this guy and still find him suitable for this position? ni favours left and right.
 
Watanzania kama tunajipenda na tunaipenda nchi yetu tuungane pamoja kupiga vita suala hili na mtu/watu kama huyu/hawa kwa maslahi ya taifa na vizazi vijavyo bila kujali itikadi za vyama vyovyote vile iwe vya siasj na visivyo vya siasa.

J. K tafadhali sana, mfute kazi Naibu waziri wa Elimu mara moja.
Huyu ni mbabaishaji na tapeli wa Elimu hatufai mtu huyu ktk elimu
 
KUNA JAMAA ALISOMANAE PALE SONGEA BOYS MIAKA YA 90 ANATHIBITISHA ALIKUWA ANAITWA HAMIMU AUGUSTINO
Du, Bongo ni noma tutegemee nini kama Waziri mwenye dhamana ya kuzuia magumashi yeye yuko pale kimagumashi.
ILA INAWEZEKANA YEYE NI MTU WA TISS
 
Back
Top Bottom