Naibu Meya Arusha Ajiuzulu

Dhambi Yao wakishirikiana na polisi itawamaliza huo ni mwanzo tu bado wengi Mwaka huu watajiuzuro.
 
Meya kashatoa kaurin yake Kuwa haoni sababu ya kujihuzuru na hata jihuzuru kwasababu yeye kachaguliwa kihalali na walio andamana hawajandamana kwa ajili yake.....source gazeti la nipashe la leo.
 
Meya ameliambia Mwananchi kuwa hawezi jiuzulu ng'o! Ila kitaeleweka, atafanya kazi na nani? Ametoswa na wananchi na jumuiya kibao za kiraia! Labda atafanya kazi na UWT na UVCCM na taasisi nyingine za kifisadi. Kujiuzuru naibu Meya is a nice move kuelekea ukombozi.
 
This people are monster..kanunuliwa bila kuwaza impacts zake...na akatubu kwa mungu wake na kuomba radhi kwa watu wa arusha na watz wote..swain..ccm are real devils.
 
Huyu diwani hovyo. Nasikia CDM hawakumwekea mpinzani lakini yeye akawasaliti vibaya mno kwa kujiunga na mafisi ya nchi hii. Sina cha kumsifia badala yake ningeletewa kichwa chake kwenye sahani ningefurahi sana
 
Anastahili kupewa heko kwa kujutia huko. Mwujiza ni huyo Meya mwenyewe kubakia!
 
Habari za kuaminika muda mchache uliopita aliyekuwa Naibu Meya Arusha AMEJIUZULU. More News to follow na tunasubiri "tetesi" Meya mwenyewe atoe kauli ingawaje yeye ni mbuzi wa kafara labda itachuku siku nyingine tatu mpka tano kutoa tamko..

Then I think RPC, IGP to follow before president.....


Should that be the truth, then uongo umeanza kupigwa na ukweli.
Kujiuzulu huko katika nyadhifa hizo ndiyo ukweli wenyewe kwamba hawakustahili kuvalishwa nyadhifa hizo ndiyo maana wanazivua sasa.

Hata hivyo, hao wanaojiuzulu mimi nawaona kama sehemu ya mashujaa ambao wametambua kuwa walikuwa wanalazimishwa kuiita spade kuwa spoon.So they have turned back to their reality of calling a spade a spade. Bravo to them

They still have to go a step ahead of that. Wamkimbie aliyekuwa anawavalisha nyadhifa hizo kwa lazima.
 
Naibu meya wa Arusha ambae anatokea chama cha TLP ajiuzulu wadhifa wake......
 
Alisema tangu mwanzo kwamba mchakato haukuwa halali.ukiwa na hofu ya Mungu ni lazima u step down
 
Back
Top Bottom