Naibu Meya Arusha Ajiuzulu

ilitakiwa apeleke akanyongwe pia kwa kusababisha watu kuuwawa ila makosa..............kujiuzuru tu!MBONA HATA AKINA LOWASA WALIJIUZURU NA KIKWETE AKAENDELEA KUIMBA KUWA NI AJALI YA KISIASA INAWEZEKANA KIVUYO PIA NI AJALI YA KSIASA KWA MUJIBU WA CCM NA KIKWETE
 
kuna habari zisizo rasmi ya kuwa meya wa arusha amebwaga manyanga , yeyote aliye na habari za uhakika atujuze tafadhali.

Kama amebwaga manyaga si angetangaza hadharani kama alivyofanya naubu wake? - yule hawezi kujiuzuru mpaka akina Makamba wampe ruhusa
 
Back
Top Bottom