Naibu katibu mkuu wa chama cha wanainchi CUF amewasili jimboni Igunga kukagua uhai wa chama baada ya timu ya kwanza kuwepo huko zaidi ya wiki 3 sasa, Lengo ni kujipanga kwa mtanange wa uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga.
Kwanini CCM B wasiiunge mkono CCM A kwenye uchaguzi huo?? Hakuna maana kwa vyama washirika kupingana kwenye huo uchaguzi haipendezi sana..
Mimi nataka jimbo liende upinzani hata cck wakichukua sina matatizo ila lisirudi magamba.