Elections 2010 Naibu Katibu Mkuu Julius Mtatiro atua Igunga

Hiki Chama chake si kilishakufaga huku Bara!
Mbunge mmoja wa CCM B wakati akichangia bajeti ya wizara ya mambo ya ndani alisema na kuitangazia dunia kwamba wamejitoa rasmi kwenye upinzani kwa sababu wabunge wa Chadema wamekuwa wanamkosea adabu spika
 
Heche alikuwa huko...kaumbuka.........nyie mmekalia fitina tuu!! Endeleeni mwisho wenu unakuja!

Hapa Bara CCM B ina viongozi wawili tu.Lipumba na Mtatiro wengine wote wanatoka zanzibar.Mtaweza mtanange wa makamanda wa upinzani?? Kwa uchache tu nawataja..Lema,Mnyika,Wenje,Msigwa,Lissu,Zitto,Mdee,Abwao,heche,Sugu,Silinde na mwisho funga kazi Mbowe na Slaa.Hawa ni kama tone tu la maji katika makamanda watakaoongoza kampeni za upinzani Igunga.CCM B mpooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mtatiro tafuta ushirikiano wa pamoja na vyama vingine vya upinzani ndipo hilo GAMBA KUU LA UFISADI nchini lipate kubanduliwa ipasavyo.

Hebu fanya juhudi za makusudi katika hili na uache kabisa majivuno ya kichama na kuwekeana mipaka katika siasa.

Prof Lipumba ahitajika bungeni Dodoma kupitia kiti hicho hapo. Mtatiro tujibu humu na tuone ukionge kwa haraka na chama changu CHADEMA watakusikiliza tu si wendawazimu wale.

After al, Tanzania ni yetu sote, tuko pamoja????????
 
Hapa Bara CCM B ina viongozi wawili tu.Lipumba na Mtatiro wengine wote wanatoka zanzibar.Mtaweza mtanange wa makamanda wa upinzani?? Kwa uchache tu nawataja..Lema,Mnyika,Wenje,Msigwa,Lissu,Zitto,Mdee,Abwao,heche,Sugu,Silinde na mwisho funga kazi Mbowe na Slaa.Hawa ni kama tone tu la maji katika makamanda watakaoongoza kampeni za upinzani Igunga.CCM B mpooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!
<br />
<br />
cuf inaviongozi huko huko igunga wako kina julius samamba, shashu lugeye,karume,mwera, kirungi, kapasha hawa ni wakazi wa huko bado viongo zi wa wilaya, kata.
 
namjua mtatiro ni kamanda asiyevaa magwanda! nilikuwa nae busanda bega kwa bega,na kama isingekuwa mchezo mchafu wa chadema kutangaza mitaani na vijijini siku moja kabla ya kura kuwa cuf imejitoa/imetolewa katika uchaguzi hakika oscar angeshinda busanda,chadema acheni ujinga
 
Mtatiro pole zake kwa ajili.Kijana bado hajakomaa kisiasa ukimlinganisha mbunge yeyeyote toka safa ya wabunge wa CHADEMA, hvyo hana pumzi ya kupambana kuchukua jimbo la Igunga.
 
Back
Top Bottom