Elections 2010 Naibu Katibu Mkuu Julius Mtatiro atua Igunga

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
Naibu katibu mkuu wa chama cha wanainchi CUF amewasili jimboni Igunga kukagua uhai wa chama baada ya timu ya kwanza kuwepo huko zaidi ya wiki 3 sasa, Lengo ni kujipanga kwa mtanange wa uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga.
 
Kwanini CCM B wasiiunge mkono CCM A kwenye uchaguzi huo?? Hakuna maana kwa vyama washirika kupingana kwenye huo uchaguzi haipendezi sana..
 
Mtatiro ameingia choo cha kike, inatakiwa awaeleze wana Igunga hiyo mimba CUF watajifungua lini!.
 
Kwanini CCM B wasiiunge mkono CCM A kwenye uchaguzi huo?? Hakuna maana kwa vyama washirika kupingana kwenye huo uchaguzi haipendezi sana..

CCM B inakwenda igunga kuwasaidia CCM A.

Kwahiyo usishangae kwa naibu katibu mkuu kwenda huko, anataka kujiridhisha kama kazi aliyowatuma vijana wake wameifanya vizuri.
 
Mimi nataka jimbo liende upinzani hata cck wakichukua sina matatizo ila lisirudi magamba.
 
Igunga imekuwa sehemu muhimu sana kwa kipindi hiki sisi yetu macho Oktoba 2, ndio tutajua
 
Mimi nataka jimbo liende upinzani hata cck wakichukua sina matatizo ila lisirudi magamba.

Mimi nadhani ni afadhali kwenda CCM A kuliko CCM B kwa sababu ni afadhali adui yako unayemjua kuliko adui aliyeko mvunguni mwako anayejifanya ni rafiki yako.
 
Hata kwa dawa hili jimbo haliwezi kurudi kwa magamba wala cdm, hili jimbo ni la CUF
 
Hao wala sitishiki naoBlah Blah nying ndumila kuwili ambao wamefunga ndoa na kichaka chawezi.
Wana Igunga Chapa rapa, Kura zote.
 
C mbaya atakuwa anatakuta kutetea jimbo lao manake wao na aloachia jimbo their differences are their similarities!
 
Heche alikuwa huko...kaumbuka.........nyie mmekalia fitina tuu!! Endeleeni mwisho wenu unakuja!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom