Nahitaji ushauri, mume aliniacha kwa dharau na matusi, sasa anajirudi, nifanyeje?

Mama yako ana HASARA!!!

Mama yako mwenyewe huruma naye huna, wengine si utatuchoma mibisu kabisa!

Kweli people learn differently.... Yani mama yako kuvumilia kutukanwa kumekufundisha kuvumilia kutukanwa???

HASARA HASARA CRDB HAIONI NDANI
yah na hata mimi kanifundisha kuvumilia na leo hii nakula mema ya nchi nazulumiwa naandamwa na maadui lakin nacheka nao na mungu anazidi kunijaalia na anaijalia familia yangu zaidi huyo unaemuita hasara leo hii ndo kasababisha mzee kurudi kwenye line na hiv nnavyokueleza ni miongoni mwa mawaziri wa MAGUFULI
 
:D :D Hongera hongera saaana mama kamanda wa makamanda kwa kuvumilia mateso ya mumeo ili awe waziri

BTW sijamaanisha mama ndo hasara....Ila mwanae...mtoto wakumsaidia kumtetea ndo huyu!!
 
:D :D Hongera hongera saaana mama kamanda wa makamanda kwa kuvumilia mateso ya mumeo ili awe waziri

BTW sijamaanisha mama ndo hasara....Ila mwanae...mtoto wakumsaidia kumtetea ndo huyu!!
utajua mwenyewe na ujinga wako,......ila mimi kwa upande wangu namshukuru mungu kwa kunipa mzazi aliyeweza kudadavua mambo na akamuomba mungu ampe hekima ya kusolv matatizo yake...mpaka leo hii tupo hapa...we kama hukupata wazazi wa namna hiyo pole sana...nyinyi ndio wale watoto mliotelekezwa na wazazi wenu sasa mmeamua kuishi kwa visasi
 
:D :D

Tofauti ya Mimi na wewe ni kuwa wewe unasifu alichofanya mama yako na kuwashauri wengine wafanye hivyo Wakati mimi NALAANI vikali wala hutokuta nashauri mtu kuvumilia mateso.

Kama msingekuwa hapo kama mama yenu angeondoka then maybe she was right to stay.

Kama uwezo wa kujitegemea anao kama mleta mada hapa kamwee asikae matesoni. Huyo mume kama ana akili atajitahidi kuji involve na watoto na sio kuwatelekeza kisa mke hamtaki tena.
 
inawezekana nikawa nabishana na mtu asiejua ndoa ninin na hana mtoto hata mmoja.....jaribu kushirikisha akili yako na vidole vyako kabla haujaandika..acha mikurupuko kama wewe wazaz wako walishindwa kusolv matatizo yao...we kua mpole tu
 
Naona watu wameshauri sana ingawa on the negative side. Dada piga magoti na mwombe Mungu akuonyeshe. Wakti mwingine hao wachepukaji wanafanyiwa madawa na hivyo ufahamu unawatoka. Fikiria watoto wako na kama bado unaumri mdogo jiulize ni vizuri kuwa na watoto wa baba tofauti tofauti? Nikushauri pia kuepuka kupeleka matatizo ya ndoa kwa marafiki na wazazi. Fikiria kwa sana na uamue binafsi huwa sipendi kushauri watu watengane. Kwann usikumbuke na mazuri yake? Kama aliwahi kutaka kukuzuru hapo sawa. Lkn mm nafikiri ufahamu ulimpotea. Usicheze na makahaba. Ulitakiwa usalimie kwa sana umwombee mmeo. Mm nina mfano ya watu walioshinda kwa madhira kama yako.
 
Ukimuona kimbia umeona simba au chatu. Huyo ni muuaji wa kisirisiri. Ameshakujua una roho ya upendo anajua utamsamehe. Nakuambia kote huko wamemla wamemmaliza hana pa kugeukia keshajijua mgonjwa anakuletea gunia la funza. Bora asingekuwa ameyasema mbele ya wazazi. Fanya yote lkn usichanganye na eazazi. Madharau makubwa mno. Nina hasir nae km vile mie ndio niliumizwa. Pole sana msamehe lkn usirudiane nae ng'ooooo. Akafie mbali huko. ANGAZA MBELE ACHANA NAE WEKA MBALI NA WATOTO NI SUMU KALI!!
 
Mkisharudiana naomba mnipe hata mwaliko wa chai hapo nyumbani kwenu, kwasababu mimi nina uhakika mtarudiana na ni muumini wa Mama G na Baba G waungane kuwalea kina G.

By the way you missed him without realising it.

Nawatakia maisha matamu baada ya muunganiko wenu.

Ha ha ha mtabaki kushangaa sana, Mama G na Baba G wanaungana kuwalea kina G soon.

Nani asiyependa mtoto wake apate mapenzi ya Mama na Baba?
 
Yaliyokupata yalishanipata miaka kama 36 iliyopita hivyo nikikuita mwanangu usichukie. Unaweza ukapenda sana lakini ukipenda asokupenda unapoteza muda. Huyo ni sawa na wa kwangu, atakuandikia barua wee za kuomba msamaha usipojibu sasa unaambiwa wewe mwanamke kwanza una mikosi tangu nilipokuoa sipati pesa, najuta kukuoa. Itapita miezi atatuma watu eti waje kuomba pesa kwangu sababu nilikuwa nafanya kazi yeye alishapata redundancy hapo asipoambulia kichele na anajua nina mtoto wake lakini mh we acha tu.

Stay cool. Tatizo kama hujapata mtu wa kukupenda kwa sasa na wewe ukampenda kuna gap. Kama una mtu mnapendana, ongea naye akupe ushauri cha mhimu kaa kimya, usimjibu huyo mtu, usimrudie na usijaribu kuonyesha upendo. Mimi sasa ni bibi nina raha nina wangu wa ndani aliyenipenda kwa nilivyokuwa na ambaye pamoja tuna watoto na wote pamoja na wa huyo jamaa tumewafikisha mbali. Usilambe matapishi utatapika we mwanangu.
Shikamoo mama kwanza au bibi!

Asante sana kwa ushauri ntaufanyia kazi!!!ameen ameeen

Asante sana
 
Naona watu wameshauri sana ingawa on the negative side. Dada piga magoti na mwombe Mungu akuonyeshe. Wakti mwingine hao wachepukaji wanafanyiwa madawa na hivyo ufahamu unawatoka. Fikiria watoto wako na kama bado unaumri mdogo jiulize ni vizuri kuwa na watoto wa baba tofauti tofauti? Nikushauri pia kuepuka kupeleka matatizo ya ndoa kwa marafiki na wazazi. Fikiria kwa sana na uamue binafsi huwa sipendi kushauri watu watengane. Kwann usikumbuke na mazuri yake? Kama aliwahi kutaka kukuzuru hapo sawa. Lkn mm nafikiri ufahamu ulimpotea. Usicheze na makahaba. Ulitakiwa usalimie kwa sana umwombee mmeo. Mm nina mfano ya watu walioshinda kwa madhira kama yako.
Pia ninushauri mzuri sana
 
Achana nae yy mpk akifulia ndio anakutafuta huyo ikitokea amefanikiwa anakuacha milele.achana nae huyo
 
Hii comment imenitoa chozi mno,sawa baba amefanya kosa ila kwa kumuonyesha mtoto kaburi akidhani ni mpendwa baba yake amelala pale kumbe si kweli ni ukatili (samahani kama nitakwaza mtu)
Its true
Mtt hana kosa ,hakuomba kuzaliwa,ana haki ya kumja baba ake!
 
Habari za asubuhi!

Nahitaji msaada wenu wa ushauri wa dhati kabisa kama mdada aisee...

Ukishindwa njoo hata PM unishauri tafadhali!

Mimi na mume wangu tumetengana kwa mwaka na nusu sasa...

Dah!kuna vitu vingi alinikosea mnoo...siwezi kusema hapa vingine maana yule ni mzazi mwenzangu na nilimpenda sana tu

Ila kubwa lililitokea mpk kuondoka ni uhuni wa kupenda wanawake,dharau,kejeli na kubwa kuliko nilisafiri kurudi nakuta kavuta mwanamke ndani(nikalala kwa jirani kesho yake nikasepa)
Sikurudi tenaaa aiseehh na yy kwa kua alilewa mapenzi hakunitafuta tena kwa kipindi kile.

Yule mdada wakaachana ameacha km wake 3 au wanne hivi

Ameyumba mno kimaisha kwa sasa mpk ameamua kuhama mkoa kaenda kungine kuanza kulima!

Sasa hivi ndugu zanguni this ex of mine anasumbua balaa...kila asubuhi,mchana,jioni!

Sina raha ht kidogo yaani!
Niseme ukweli nilishamtia moyoni kabisa!

I don't miss him
I don't love him..
Moyo wangu unagoma kusamehe yaani kabisa..

Nikikumba tu kauli moja tu alinambia tuko pale Nyerere Square Dodoma"Sijui kwa nn unaning'ang'ania we mwanamke,I don't luv u a bit japo ur wife material but I can't stand u Mama G leave me alone please"

Akaulizwa na mama kwa nn humtaki mkeo? Alijibu hivi"Hajanikosea hata kidogo simpendi tu siku hizi"

Daah hizi kauli mbili ndugu zanguni zinaniumiza mpk kesho japo ni mda umepita but my heart..

Moyo unaniuma kweli nikizifkria.

Anaogopa kuja nyumbani maana alitukana ukoo mzima!na baba angu mtata sana!

Sasa hivi sijui anahitaji nini kwangu...mana mimi ni yule yule sijabadilika zaidi ya kunenepa tu

Nishaurini wapendwa, mdogo wenu, rafiki yenu, mtoto wenu na mpenzi wenu pia!

Wenzangu km mshapitia Mapito haya mliwezaje?
Maana anasumbua ukimblok anatafuta namba zingine!
Ahsanteni
Mtoe nishai mbele za watu, hatakufuata tena
 
Msamehe lakini usimrudie...si alikimbia mwenyewe...talaka halali yake....yn ukisema umrudie hutoenjoy km zamani cz utakuwa unawaza tu amujinga yake na uzinzi wake..kafulia nini??
 
Back
Top Bottom