Nahitaji ushauri, mume aliniacha kwa dharau na matusi, sasa anajirudi, nifanyeje?

Usimuogope baba anakutakia maisha mema na ya furaha. Usikilize pia na moyo wako unaegemea upande upi. Mimi bado msisitizo wangu ni ule ule huna sababu ya kurudi. Pole sana.

wazazi wake hats Leo wakiskia narudi watafanya ibada ya shukrani!!

kwetu ndi majanga ushauri wa familia yangu km humu jf baba namuogopa hatari
 
Achana nae, ila kama moyo wako unampenda na kwa sababu ya watoto basi waweza kurudiana nae.
 
Mmmh Kwa kweli nimejikuta nawaza tu Kwa sauti laiti binadamu tungepewa nafasi ya kuhukumu ingekuajee na laiti Mungu angekua hana msamaha ingekuaje, au angesamehe Kama wengi wengi tunavyosamehe kua abadirishi adhabu (uamuzi) hata Kama mtu ameomba msamaha wa aina gani.Mama G kwanza sikiliza moyo wako Kwa dhati kabisa bila kuuonea aibu rudi mlivyoanza je alikupenda ,kwanini alikuoa unadhani Kama alikua hakupendi alifosiwa au ulimfosi? Alivyokutamkia hakupendi baada ya kuishi nae muda kiukweli Ni dharau but jua Kuna wakati penzi uchuja Ni kipindi cha mpito na shetani ujaribu kufanya yake ,pole Kwa sababu mumeo hakuweza kukabiriana na iyo hali. Ukishapata maamuzi ya moyo wako mkapime na umuombe aende kanisani Kama n mkirsto na msikitini Kama Ni muislamu akutane na viongozi wa dini awaelezee bila kuficha chochote wao wawakutanishe na familia yake na yenu aombe msamaha Kwa dhati kabisa,Mama G watoto wanatamani kurudi nyumbani kuwakuta baba na mama mnapiga stori Kwa Furaha uku mkicheka na wao wakaungana na nyinyi na ndo maana wanakuomba simu waongee na babayao ila fanya hivo Tu baada ya kusikiliza moyo wako na ukajua unampenda kwasababu ukiwa umpendi utamlipizia na jamii tunachukuaga anaelipiza ndo tunambebesha makosa. Na Kama umpendi mwambie wazi sikupendi nimepata mwingine usiache kuja kuona watoto wako ila hapo utakua ujasamehe ila umejisahaulisha. Pole sana

Sent from mTalk
 
Kuna wanawake ving'ang'anizi mm nawaita Lipumba's hawa hata uwatukane ukoo nzima,uwe na wake Wa NNE, ukae mwaka na nusu bdo ukimpigia cm ukamwambia am sorry anakuelewa....hv ww Dada seriously MTU amekutukana mbele ya mama ako mzazi tena kwenye uwanja Wa kumbukumbu ya Mlm nyerere bdo unaona kuna upendo?Haya haitoshi amekwambia ckupendi bdo unaona kuna nafasi....nyw unajua huo mwaka na nusu alikua na nani? Tuseme umemsamehe una uhakika gn kama hatarudia ya zamani....HV nyie watu mnakuaga na moyo ya ngamia nn?
 
Mmmh Kwa kweli nimejikuta nawaza tu Kwa sauti laiti binadamu tungepewa nafasi ya kuhukumu ingekuajee na laiti Mungu angekua hana msamaha ingekuaje, au angesamehe Kama wengi wengi tunavyosamehe kua abadirishi adhabu (uamuzi) hata Kama mtu ameomba msamaha wa aina gani.Mama G kwanza sikiliza moyo wako Kwa dhati kabisa bila kuuonea aibu rudi mlivyoanza je alikupenda ,kwanini alikuoa unadhani Kama alikua hakupendi alifosiwa au ulimfosi? Alivyokutamkia hakupendi baada ya kuishi nae muda kiukweli Ni dharau but jua Kuna wakati penzi uchuja Ni kipindi cha mpito na shetani ujaribu kufanya yake ,pole Kwa sababu mumeo hakuweza kukabiriana na iyo hali. Ukishapata maamuzi ya moyo wako mkapime na umuombe aende kanisani Kama n mkirsto na msikitini Kama Ni muislamu akutane na viongozi wa dini awaelezee bila kuficha chochote wao wawakutanishe na familia yake na yenu aombe msamaha Kwa dhati kabisa,Mama G watoto wanatamani kurudi nyumbani kuwakuta baba na mama mnapiga stori Kwa Furaha uku mkicheka na wao wakaungana na nyinyi na ndo maana wanakuomba simu waongee na babayao ila fanya hivo Tu baada ya kusikiliza moyo wako na ukajua unampenda kwasababu ukiwa umpendi utamlipizia na jamii tunachukuaga anaelipiza ndo tunambebesha makosa. Na Kama umpendi mwambie wazi sikupendi nimepata mwingine usiache kuja kuona watoto wako ila hapo utakua ujasamehe ila umejisahaulisha. Pole sana

Sent from mTalk
thank uuu
 
moyo haupo kabisa yaani nimemove on!

maana nilimsubiri mwaka mzima arudi hakurudi but today anakuja an say soryy!
tayari mm am no longer inluv with him again!
My dear wakati unamsubiri ulichukua hatua gani?
Najua we ni mkrstu!
Uliomba? Ulimuuliza Mungu kwann kawa hivyo?

Check family yake/ukoo wake hakuna mwenye hizo tabia?!
Coz inaweza kuwa ni maroho haya ya zinaa/uzinzi kutoka kwny family/koo zetu,si unajua tena zinavyofuatilia!

Pia mi nina ushahidi michepuko kwa kupuliza (nguvu za giza)hatari,huwa wanateka nafsi tu wamemaliza kazi..ndo maana mtu unaona anabadirika mpk unamshangaa km ni yeye!

My dear tena ww ni mke halali una mistari ya kusimamia kwny bibla(Mungu anaangalia agano) unauwezo wa kurudisha upendo wa kwanza kwa maombi tu!

"Mi nilikuwa mchumba tu na nilimsambaratisha mtu vzr sn,nikawatenganisha! Sshv heshima!
Yaani eti mchepuko aniletee ujinga#,nilitaka kumuonyesha kahaba nina Mungu coz alinidharau mi mlokole!

Talk to God my dear#ukiwa tayar kwa maombi ,nichek tu#hawa makahaba /michepuko huwa siwaachi lzm ajue Mungu yupo!
 
Achana nae, ila kama moyo wako unampenda na kwa sababu ya watoto basi waweza kurudiana nae.
Ndo mana Dada yangu alimchukua mwanae kipind hicho yuko darasa la sita akampeleka makaburini na kuchagua kaburi moja na kumwambia baba yako amezikwa hapa,huna baba na mtoto akaamini,Leo ni kijana anafany mtihani wa fm4 anajua baba yake ameshazikwa kumbe yuko hai na amejaribu kumfuata mwanae n kumwambia mimi ndo babako kijana anagoma nahumwambia yeye baba yake alishafariki akiwa mtoto.Tapeli huyo achan nae
 
My dear wakati unamsubiri ulichukua hatua gani?
Najua we ni mkrstu!
Uliomba? Ulimuuliza Mungu kwann kawa hivyo?

Check family yake/ukoo wake hakuna mwenye hizo tabia?!
Coz inaweza kuwa ni maroho haya ya zinaa/uzinzi kutoka kwny family/koo zetu,si unajua tena zinavyofuatilia!

Pia mi nina ushahidi michepuko kwa kupuliza (nguvu za giza)hatari,huwa wanateka nafsi tu wamemaliza kazi..ndo maana mtu unaona anabadirika mpk unamshangaa km ni yeye!

My dear tena ww ni mke halali una mistari ya kusimamia kwny bibla(Mungu anaangalia agano) unauwezo wa kurudisha upendo wa kwanza kwa maombi tu!

"Mi nilikuwa mchumba tu na nilimsambaratisha mtu vzr sn,nikawatenganisha! Sshv heshima!
Yaani eti mchepuko aniletee ujinga#,nilitaka kumuonyesha kahaba nina Mungu coz alinidharau mi mlokole!

Talk to God my dear#ukiwa tayar kwa maombi ,nichek tu#hawa makahaba /michepuko huwa siwaachi lzm ajue Mungu yupo!
asante mpendwa kwa ushauri!
maswali yako ntakujibu
 
Ndo mana Dada yangu alimchukua mwanae kipind hicho yuko darasa la sita akampeleka makaburini na kuchagua kaburi moja na kumwambia baba yako amezikwa hapa,huna baba na mtoto akaamini,Leo ni kijana anafany mtihani wa fm4 anajua baba yake ameshazikwa kumbe yuko hai na amejaribu kumfuata mwanae n kumwambia mimi ndo babako kijana anagoma nahumwambia yeye baba yake alishafariki akiwa mtoto.Tapeli huyo achan nae

Hii comment imenitoa chozi mno,sawa baba amefanya kosa ila kwa kumuonyesha mtoto kaburi akidhani ni mpendwa baba yake amelala pale kumbe si kweli ni ukatili (samahani kama nitakwaza mtu)
 
Hujanikwaza ila ukatili upi mzuri,kumdhalilisha mtu kwa kuwa anakupenda au kumweka mwanae mbali na baba limbukeni?
 
Back
Top Bottom