Nahitaji ushauri, mume aliniacha kwa dharau na matusi, sasa anajirudi, nifanyeje?

Shost , ukiona mwanaume anakulilia hivyo, Mara unabadili namba yy yumo, unamwambia mi sikutaki hasikii lolote ujue yamemkuta! ( naongea haya nikiwa among the victim)hebu jaribuu kumsikiliza mwaya..wala we sio last option kama wadau walivyosema, kakumbuka wema wako na maisha mema mliyoishi pamoja! na itakuwa anajuta kinoma noma huko aliko sema hawezi kujishusha kivile si mwanaume?

My dear ushauri wangu tu kwako msamehe kutoka rohoni, vile vile mrudie yaani mpe last chance, na muonyeshe kuwa bado unampenda yaani sasa ( kwake ni full kuumbuka tu)...narudia tena rudiana nae coz inaonekana dunia ishamfunza, wenzio yametukuta zaidi ya haya ya kwako, tukasamehe now tunaenjoy life na tuwapendao!

A serious Note: check afya kabla ya kuduu nae ( make sure you accomplish 6 months baada ya kupima kila miezi 3)

Goodnight!
 
thank u wit..
unayosema nitayazingatia dear..

Hiv kwa akili yako unafikiri anataka kurudi kwako kwa sababu anakupenda??
Huyo anarud kwa sababu maisha yamempiga na akinyanyuka tena kiuchumi atarud kule kule kwa huyo mwanamke
By the way alishakwambia hakupendi so kwa mimi nnavyojua mwanaume akikuambia hakupendi anamaanisha hakupendi sasa na hatakaa akupende
Hakika Mama G fuata ushauri wa huyo
Bibi una busara sana ndani yake usimjibu chochote akipiga usipokee wala akituma msg usijibu
 
Kutoa ushaur kwa kusikiliza upande mmoja kamwe hutapata ushaur mzuri,hivi hata kama wewe pia ulikuwa na makosa utayaeleza kweli?
 
Mdada kaa vizur utambue pia na wewe ulipokosea,mchunguze jamaa yako vizur ana dhat kias gani kwa analokwambia,mwambie aje nyumbanj kwa wazaz muongee,achana na ushaur Wa jf Wa wanawake wengi walioachana na waume zao,fikiria watoto wako wanaishi VP bila baba yao,alikosa sawa lakini unajua kilichomsibu mpaka akafanya HVO? Unajua mazingira aliyokuwa nayo akiwa na hao wanawake? Ndoa INA changamoto zake,madada Wa Leo mnaogopa sana changamoto,jifunzen kusimama imara mnapopata majaribu,nyie Wa Leo hata ukikuta SMS tu inabeba begi,humu watakuongopea tuu maana ushaur wao asilimia 95 watakwambia muache,alafu? waje pm!
Simtetei huyo jamaa ila za kuambiwa changanya na zako
 
Msamehe na mrudiane.....kwa kuwa amekiri alikukosea sana...kwa kuwa Mungu hutusamehe sisi kila siku despite tunafanya makosa tena makubwa kila Leo....
 
Pole dada yangu kipenzi dunia gunia hili pana masahibu mengi yanatokea kila uchao waungwana wamesema mengi tena kwa mitindo tofauti ukali upole au kejeli kila mmoja kajaribu kufikisha ujumbe kwa namna yake. Binafsi nakuomba sana pamoja na yote yaliyosemwa naomba uusikilize moyo wako unasemaje? Mwamuzi wa mwisho ni wewe sababu ni maisha yako sisi tunajaribu kuweka mambo sawa kwa kukufanya utafakari kwa michango yetu ila wa kumaliza huu mzozo ni wewe peke nakuombea uwe na busara zaidi baada ya kupata michango mbalimbali ila kumbuka maamuzi utakayo yafanya ni mustakbali wako na wajomba zetu pia kila la kheri.
 
Mama G huyu huyu ninaye kufahamu au

Kwenye mapenzi kinachoumia ni moyo,tafakari mara mbili mbili utapata jibu
 
thank u wit..
unayosema nitayazingatia dear..
Pole sana best yangu ni mapito tu ila yanaumiza,pambana n maisha yko n watoto wako huyo hakupendi na hata mkirudiana bdo itakua mnapita mulemule yani hana mzuka nawe tupo nawe kwa sababu yuko broke kimaisha.hata mechi atakua anapiga kwa hisia za dem mwingne....kukutukania familia yko ni ishara tosha kua alikua anawaona takataka wewe n familia yko,pole sana
 
thanx a lot friend of mine!
 
Pole dada yangu kipenzi dunia gunia hili pana masahibu mengi yanatokea kila uchao waungwana wamesema mengi tena kwa mitindo tofauti ukali upole au kejeli kila mmoja kajaribu kufikisha ujumbe kwa namna yake. Binafsi nakuomba sana pamoja na yote yaliyosemwa naomba uusikilize moyo wako unasemaje? Mwamuzi wa mwisho ni wewe sababu ni maisha yako sisi tunajaribu kuweka mambo sawa kwa kukufanya utafakari kwa michango yetu ila wa kumaliza huu mzozo ni wewe peke nakuombea uwe na busara zaidi baada ya kupata michango mbalimbali ila kumbuka maamuzi utakayo yafanya ni mustakbali wako na wajomba zetu pia kila la kheri.
thank u broo

mpk kuomba ushauri basi Mtu mzima nimetingwa mnoo...

nipo katikati ya msitu!
 
Najua ila uzito wa mzigo anaujua mbebaji ushauri wetu ni muhimu ili uweze kuchanganua mambo ila mwisho wa siku ni weye ndio unatoa hutimisho la kadhia hii ndio maana tunasema usikilize moyo wako kwa faida yako na wapwa zetu.
 
asante kaka

nakusoma vzr tu!
 
Back
Top Bottom