Nahitaji Suzuki Escudo milango mitano

LJ BLOG

Senior Member
Jul 24, 2011
194
151
Mwenye suzuki Escudo milango mitano anitumie na picha zake kabisa mara baada ya kuona picha ndipo sasa tunaweza kuzungumza biashara lakini mpaka niione tena kwa macho

namba iwe kuanzia B na kuendelea isiwe V6 na cc isizidi 2000.

Kwa aliyenae anitumie picha inbox iwe Dar lakini maana ndipo nilipo
 
Haya leteni picha hapa nione nichague maana mshaanza kusema kwa namba nimeleta shida
 
Me nahitaji Land cruiser VX 1hdt turbo engine. Aliye nayo tuwasiliane tafadhali!
 
ipo mkuu ofa yako ni ngapi ?then weka no ya whatsapp nikutumie pic zake. iliopo ni new model
 
Mwenye suzuki Escudo milango mitano anitumie na picha zake kabisa mara baada ya kuona picha ndipo sasa tunaweza kuzungumza biashara lakini mpaka niione tena kwa macho

namba iwe kuanzia B na kuendelea isiwe V6 na cc isizidi 2000.

Kwa aliyenae anitumie picha inbox iwe Dar lakini maana ndipo nilipo
ninanyo call 0713774746 mbezi beach
 
Niko na Suzuki Vitara namba ni BHW Manual. Cc1620. Ukipenda tuwasiliane.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom