Nahitaji Mwanamke mwenye Umasikini kama wangu ili tupendane Kidhati na tushirikiane Kuinuka Kimaisha

Siko hapa JamiiForums kutoa Elimu kwa Wapumbavu wasioelewa kuwa neno Masikini ni very broad logically na kwamba Mtu Kujiita Masikini hamaanishi ambavyo Wapuuzi wengi mlivyokariri au mlivyokaririshwa.

Acheni tu Kunichosha Kuwaelimisha juu ya neno Masikini au kujiita Kwangu Masikini kwani Mnaniboa pia vile vile sawa? Kama unaona hunihitaji au sina Sifa za kuwa nawe achana na Mimi tafuta wa Level yako mbona wapo wengi tu hapa kwanini mhangaike na Masikini Mimi?
Yaani Una panic balaa itakua una mental retardation sio bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Ushauri tu Either Take It or Leave it. Maana Maisha ni Yako mkuu

Haina Shida Na Endelea kutafuta Mwanamke atakayependa Umasikini uliousema Hapo Juu
Sikutaka Ushauri wako juu ya Maamuzi yangu ila nakushukuru kwa kunitakia Kila la Kheri katika Jambo langu na Umechelewa mno kunitakia Kwako kheri huku.
 
Mwanamke maskini Anahitaji mwanamme tajiri mzee sio kapukuuu tena Wewe kama kapuku tumia deto au kuwa single usitake kumchosha mtoto wa watu
Maoni ya Wapumbavu wa Kurithishwa kama haya yako wala huwa hayanivunji Moyo na una uhakika gani labda kama mpaka sasa sijampata Mlengwa na hapa nawasanifu tu bila nyie Kujijua?
 
Kwani ulilazimishwa kuandika huu uzi JF?

Acha kupanic mende wewe

Mtoa uzi ana utindio wa ubongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Tokea page ya 5 unajua Mimi ni Mende na nina Utindio wa Ubongo ila cha Kushangaza hadi hivi sasa Uzi uko page hii ya 7 unaoendelea tu Kuhangaika na Kushoboka nami tangia kule katika PM nimekukataa ila unanilazimisha tu au Umeshaathirika na VVU hivyo unataka Kuniambukiza na Kuniua na Mimi? Nasisitiza kuwa Sikutaki hivyo usinisumbue sawa?

Juha mkubwa Wewe.
 
Kwa umri huo uliosema single mother anakaribishwa?
Kama amakidhi Umri tajwa na hajazidi hapo anakaribishwa ila tu asiwe Mpuuzi, Mnafiki na anayefanya Mzaha na Hoja yangu Kuu.

Na ajue / ujue kuwa Mimi ni Masikini sawa?
 
yaan nami nimewaza kama wewe mtu ana mpaka email adress
Sijui ni lini Nuts and Uncivilized People kama Wewe ( Nyie ) mtapungua kama siyo Kupukutika kabisa Tanzania au Duniani kabisa..
 
Back
Top Bottom