Nahitaji mume 33-40 age

Mie natafuta mke pia, nina 34. Ila naogopa wachagga. Kwani wewe ni mchagga? Kama ni mchagga ni wa sehemu gani? Maana nasikia wachagga wanatofautiana.
 
Kama una umri huo na ujapata hata mchumba inaelekea muda wako wa matumizi umeisha.. LABDA nenda kwa Rev. Masanilo akuombee labda unaweza kupata mwanaume, na siyo mume.
 
Hivi unajisikiaje kumwambia dada wa watu hivyo?We ni nani mpaka uamue muda wake umekwisha?Embu kua mstaarabu kidogo!Kama hukua na mchango ungepotezea tu!
 
Ndiyo maana naipenda JF kila kitu kinapatikana humu,ila mkifikia kuwoana mtupe taarifa tujumwiike pamoja naona itakuwa bomba sana

kila la kheri na Mungu awabariki kwa wale wote waliotuma application zao na mungu akujalie uweze kuchagua iliyo bora maana utapata nyingi sana
 
Kama una umri huo na ujapata hata mchumba inaelekea muda wako wa matumizi umeisha.. LABDA nenda kwa Rev. Masanilo akuombee labda unaweza kupata mwanaume, na siyo mume.

Wasikukatishe tamaa mwayego. Nina uhakika utafanikisha tu.
 
Kila la kheri dada,usikatishwe tamaa na yeyote,saa aliyoipanga Mungu hakuna aijuaye.....Mungu akupe hitaji la moyo wako!!
 
Ebu weka picha kwanza itasaidia kuvutia wengi na kuongeza ushindani; ila wana JF mkumbukeni yule jamaa aliye nyolewa nywele kwenye Bible nimemsahau jina.
 
Halafu anabadilisha ID halafu anaendelea kucomment na ID yake humuhumu! hahahaha wadada msiwe waoga as i know huwezi kujiunga leoleo na kuanza kutafuta mume. Mimi nikitemwa na niliye nae nijajimwaga na hiihii ID yangu cause sina la kujutia. ni maoni yangu tu sio lazima ni kweli
 
Kila la kheri dada,usikatishwe tamaa na yeyote,saa aliyoipanga Mungu hakuna aijuaye.....Mungu akupe hitaji la moyo wako!!

Kwa kweli ni kuomba mungu mimi nilijitosa kwa mkaka humuhumu alitoa tangazo hamuwezi amini tulipofikia,wengine wako serious msiogope mnaotafuta uhusiano humu
 
Ndiyo maana naipenda JF kila kitu kinapatikana humu,ila mkifikia kuwoana mtupe taarifa tujumwiike pamoja naona itakuwa bomba sana

kila la kheri na Mungu awabariki kwa wale wote waliotuma application zao na mungu akujalie uweze kuchagua iliyo bora maana utapata nyingi sana

Mimi nimepata ila nilikuwa mtahiniwa
 
Halafu anabadilisha ID halafu anaendelea kucomment na ID yake humuhumu! hahahaha wadada msiwe waoga as i know huwezi kujiunga leoleo na kuanza kutafuta mume. Mimi nikitemwa na niliye nae nijajimwaga na hiihii ID yangu cause sina la kujutia. ni maoni yangu tu sio lazima ni kweli

Mwache mwenzako labda anaona kwa ile wamemzoea sana watafikiri anatania
 
Halafu anabadilisha ID halafu anaendelea kucomment na ID yake humuhumu! hahahaha wadada msiwe waoga as i know huwezi kujiunga leoleo na kuanza kutafuta mume. Mimi nikitemwa na niliye nae nijajimwaga na hiihii ID yangu cause sina la kujutia. ni maoni yangu tu sio lazima ni kweli
Umejuaje??
 
Kwa kweli ni kuomba mungu mimi nilijitosa kwa mkaka humuhumu alitoa tangazo hamuwezi amini tulipofikia,wengine wako serious msiogope mnaotafuta uhusiano humu

Hongera sana Dinnah, tunafurahi kusikia hizo feedback. Nawatakia kila la heri, hope mtafikia pazuri na kutualika kwenye ubwabwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom