Natafuta Mume

KusiniKuchele

Member
Oct 26, 2015
28
62
Habari wana JF?
Natafuta mume awe na sifa:
-Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki)
-Umri 35-45
-Amejiajiri/Kuajiriwa
-Elimu angalau degree moja na kuendelea
-Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na mwenye kujua maana ya familia

Kuhusu mimi
-Umri 31years,
-Kabila Mwiraqw(Manyara)
-Nina degree moja
-Nimejiajiri
-Nina mtoto mmoja(baba yake ni marehemu)
pm for a serious man only
 
Habari wana JF?
Natafuta mume awe na sifa:
-Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki)
-Umri 35-45
-Amejiajiri/Kuajiriwa
-Elimu angalau degree moja na kuendelea
-Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na mwenye kujua maana ya familia

Kuhusu mimi
-Umri 31years,
-Kabila Mwiraqw(Manyara)
-Nina degree moja
-Nimejiajiri
-Nina mtoto mmoja(baba yake ni marehemu)
pm for a serious man only
Nakuja mke wangu tukayajenge ☺️☺️☺️❤️❤️❤️😍😍😍
 
Nani ambae anawafundisha hivi kwamba mapenzi yapo kwa wenye degree na master's tu ? Haya kila lakheri utampata jiandae kua single mother mtarajiwa,
Ni sifa zake mkuu kama wewe hujasoma kinachokuuma yeye kujitangaza ana degree ni nini. Kuna watu wanapenda mwanamke aliyesoma wewe unapenda mwanamke asiyeenda shule kila mtu ana choices zake hivo waache w anaomatch naye wataongea naye wee pita kuleeeeeee
 
Habari wana JF?
Natafuta mume awe na sifa:
-Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki)
-Umri 35-45
-Amejiajiri/Kuajiriwa
-Elimu angalau degree moja na kuendelea
-Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na mwenye kujua maana ya familia

Kuhusu mimi
-Umri 31years,
-Kabila Mwiraqw(Manyara)
-Nina degree moja
-Nimejiajiri
-Nina mtoto mmoja(baba yake ni marehemu)
pm for a serious man only
ubarikiwe sana update
P
 
Yes of course Mimi napenda wa hivyo sio hawa wanaotombeka chuoni alafu wakimaliza Chuo wanaanza kulandalanda na kufikiri kwamba mapenzi ni degree na master's ndio maana chuoni wanaotombeka Sana wakihisi kwamba wakimaliza pamoja na huyo Mwanaume alienae hapo chuoni basi ataoana na degree, alafu jamaa wakimaliza tu Chuo anampiga kibuti hapo kashamtomba sana zaidi ya miaka mitatu jamàa anamtomba tu maana wanaishi km mke na mume anamfanya anavyotaka anamuingia anapopataka na binti hakatai Wala hagomi kisa anafikiri ataolewa na degree (sio mwenye degree) anataka aolewe na degree au master's (wadhifa au wasifu) sifa sifa za kujisifu mume wangu ana master's mume wangu ana degree, ushaelewa nini anataka (kitu) sio (mtu) Cha kujionyesha na kujiproud kwa watu, kumbe masikini ya Mungu amempangia mume wake ni mchoma mkaa hapo Dumila hana degree na shule aliishia la 6, mapenzi sio degree au master's utapishana na mumeo mpaka unaingia kaburini
Naked Truth, degree its just piece of paper
Tabia
Kujitambua
Kujua thamani ya mwenza wako
God fearing
Utu
Usafi wa Mwili roho na Matendo
Hard worker


Yaani Mambo Mengi kuyajua sio lazima uwe umesoma au msomi.
 
Nimeuliza ni wapi peandikwa mapenzi huanza na degree yaan kashatombeka Sana chuoni huko kawa mke wa mtu zaidi ya miaka mitatu jamàa anajitombea tu alafu wanamaliza Chuo kila mmoja anasepa kivyake baada ya miezi kadhaa anaingia Jf eti anatafuta mume mwenye degree,

Wewe nawe umeniuliza swali ukihisi sijasoma wewe ni kiazi mviringo kabisa km huyo ni dada yako mwambie akaolewe na Yule bwanawake aliekua akimtomba chuoni na wakawa wanaishi pamoja km mume na mke,
You seems to be a very toxic person hysee..
Embrace your choice.
 
Kila anaetaka mume anataka mwenye kujiajiri au kuajiriwa na mwenye degree. Mnasahau kundi la umri huo wenye degree ndio hawakuajiriwa na mwendazake na mianya yote ya fursa hawakuwa nayo.

Hilo kundi ndio wanashinda mitandaoni kuitana wapwa n.k

Ndio wale wanaoitwa vijana wa hovyo kutoka Jamuhuri ya Watu wa Hovyo.

Ukiingia kwenye 18 unapigishwa mtoto mwingine halafu unaletewa cheti cha kifo cha baba ambae yupo hai.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom