Nahitaji mume 33-40 age

Mamboz... Hongera kwa ujasiri wako. Ni wadada wachahce sana wa kibongo wenye ujasiri kama wako. Nakutakia kila la kheri.:decision::hand::A S 112:
 
Mimi ni msichana tayari 32yrs sijawahi kuolewa na sina mtoto. Ninahitaji mume Mkristo tayari kupima VVU pia awe amesoma angalau kidato cha sita, awe ameajiriwa au amejiajiri mwenyewe. Mimi nina elimu ya Advance diploma na nimeajiriwa na kampuni fulani hapa Dar es salaam. Samahani najua wengi mtaniponda nakadhalika lakini mimi niko serious kabisa nimeshachoka maisha ya upweke na ubusy wa kazi kiasi kwamba hata muda wa kukutana na watu nakosa. Sitakasirika kwa wale watakaoniponda ila kwa wale walioko serious ni tumie message kwenye profile yangu then tutaendelea kuwasiliana. Naomba tafadhali uelewe niko serious sana kuhusu hili swala na siyo kwamba nina tabia mbaya au labda muhuni au mi mwenyewe sina mvuto hapana, nadhani kwa kadri tutakavyozidi kufahamiana utanifahamu na kunielewa vizuri. Niko nasubiri Private message (PM) kwa wale tu walioko serious karibuni.

POLE BI MKUBWA! TATIZO LAKO..kwenye text yako palipopigwa nyekundu..! nafikiri hata huyu unayemtafuta hapa JF hamtadumu endapo hautarekebisha timetable yako na kuanza kukutana naye! ukiwa na muda wa kutosha hata "huyo uliyenaye anafaa kuwa mumeo"!nimesema hivi coz unadai hujawai kuolewa na una mtoto...so find enough time to close your Boyfriend..unless you have some other problems! sory if I misunderstood you!:hand:
 
Umri uliotaja wengi watakuwa na watu wao na wewe umesisitiza ndoa ya Kikristu kwa maana hutaki kushare na mtu. Lakini kwa umri wako ili kupata mtu mtakayeendana naye vizuri.....kuwa nyumba ndogo ndiyo inayokufaa zaidi au uelewe mke wa pili ndoa ya kiislam
 
POLE BI MKUBWA! TATIZO LAKO..kwenye text yako palipopigwa nyekundu..! nafikiri hata huyu unayemtafuta hapa JF hamtadumu endapo hautarekebisha timetable yako na kuanza kukutana naye! ukiwa na muda wa kutosha hata "huyo uliyenaye anafaa kuwa mumeo"!nimesema hivi coz unadai hujawai kuolewa na una mtoto...so find enough time to close your Boyfriend..unless you have some other problems! sory if I misunderstood you!:hand:
Hapo kwenye red soma vizuri, usimwekee maneno mtoto wa watu. Dada vuta subira mume mwema anakaribia.
 
user-online.png
mushijack

Today 10:01 PM
#1
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 19th February 2011
Posts : 1
Thanks 0Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 0

Samahani kwa kwenda ofu topik, hivi ulikumbuka kupitia kule sebuleni kwanza kabla ya kuingia humu chumbani?

Dah...huyu yuko serious kweli maana moja kwa moja hadi chumbani ok ila ingependeza abishe hodi au kapotea....no may be new username ila mwenzetu
 
Mimi ni msichana tayari 32yrs sijawahi kuolewa na sina mtoto. Ninahitaji mume Mkristo tayari kupima VVU pia awe amesoma angalau kidato cha sita, awe ameajiriwa au amejiajiri mwenyewe. Mimi nina elimu ya Advance diploma na nimeajiriwa na kampuni fulani hapa Dar es salaam. Samahani najua wengi mtaniponda nakadhalika lakini mimi niko serious kabisa nimeshachoka maisha ya upweke na ubusy wa kazi kiasi kwamba hata muda wa kukutana na watu nakosa. Sitakasirika kwa wale watakaoniponda ila kwa wale walioko serious ni tumie message kwenye profile yangu then tutaendelea kuwasiliana. Naomba tafadhali uelewe niko serious sana kuhusu hili swala na siyo kwamba nina tabia mbaya au labda muhuni au mi mwenyewe sina mvuto hapana, nadhani kwa kadri tutakavyozidi kufahamiana utanifahamu na kunielewa vizuri. Niko nasubiri Private message (PM) kwa wale tu walioko serious karibuni.

nimekunguwaa na elimu uliyoitaja kwa daraja hakukuwa na ubaya kama ungeianika maana wengine tunaogopa ''masociologist''..yaani full kuongea ok; na kuhusu tabia sijakuelewa maana kwani hata uhuni ni tabia nzuri ''as we always live symbiotically'' ok labda mvuto sina comments ntakucheki
 
Mimi ni msichana tayari 32yrs sijawahi kuolewa na sina mtoto. Ninahitaji mume Mkristo tayari kupima VVU pia awe amesoma angalau kidato cha sita,
Wadada wengine ambao hawana wanaume waige mfano huu wanaume wengi nao wanatafuta wachumba.. ili wenye sifa takiwa waweze ku-match na hatimaye kumaliza tatizo kwani kwa jf tatizo kama hili soon litapata solution.
 
Kwa kweli ni kuomba mungu mimi nilijitosa kwa mkaka humuhumu alitoa tangazo hamuwezi amini tulipofikia,wengine wako serious msiogope mnaotafuta uhusiano humu

Nitakuwa tayari kutoa mchango kwa harusi yenu itakapowadia wa maana hiyo itakuwa ni mojawapo ya mafanikio ya JF.
All the best
 
pole dada kwa hilo tatizo.Usikate tamaa namfahamu dada fulani aliolewa akiwa na 39 alikuwa so busy.Anafanya kazi ubalozi fulani hapo Dar so ni swala la muda tu GOD gonna give you the best mume.Ila upunguze ucompex in case jichanganye kanisani kuna wanakwaya kibao vijana wazuri yu wa kuwa mme.
 
Dada,
Nakutakia mafanikio.
Mimi si kati ya wale watakaokusema vibaya, maana unachagua njia njema ya kuishi kiuwenza na kufarijiana na mwenzi wako!
Bahati mbaya mimi nishabukiwa, lakini vinginevyo ningekutumia ujumbe ili tuingie kwenye biashara serious!

Seriously ninaamini utapata mtu mwaminifu hapa ndani!
Lakini ukipata utoe feedback, na kwa kuwa umejiunga kwa kuanzisha mada hiyo, huu usiwe mwisho wako wa kuja hapa, hata kama matarajio yako yatakuwa ndivyo sivyo!
Tunakupenda sana!

dah Hii ndo mara ya kwanza namuona huyu Paka akiiacha mada kama hii ipite bila kuipinga.....mara zote umekuwa critic vibaya sana...hata kwa watu wanaohitaji msaada....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom