Nahitaji ka-demu ka kunichuna...!

Halafu ukishachunwa urudi hapa na kuanza kulialia....Naombeni ushauri wanaJF yule demu kanichuna kila kitu....Furniture zangu zote kabeba, jiko na kafriji kangu ndio kwanza nimetumia kwa miezi sita tu ...Bank accounts mbili kakwangua kila kitu yaani kaniacha uchi...Chezeya wachunaji weye!!!

bhaeleze BAK ye anafikir watu kukalia beseni la barafu wanapenda?kazi ndo msingi wa maendeleo oh!
 
Last edited by a moderator:
he he he, hata mie unateleza sana, akchwali ndio nilimfundisha Mulugo jinsi ya kutelezesha ulimi.

Ujue nini, mateka kama terrorist.

Yeeewaaah! Kavute urudi ili tuongee same language. Beware ulimi wangu unateleza kuliko mulugo.
 
nenda facebook utawakuta wa aina yako.mods ili kutoshusha thamani ya JF jitahidini kuvithibiti vitoto kama hivi vinavyoleta thread za ki...ge
 
Mhhhh! DILDO tena!!!? Duh! ni aje bana? :photo:

unashangaa BAK?????????? tena usiipimie kabisa ama nikwambie sifa zake?
dildo, haina ukimwi, haina wivu, haijui kusema nimechoka, haipigi kelele, haina kutamani, haijui kudanganya wala kuumiza hisia za mtu, ikimuona mume mwenzie wala haijui kuteta. msiri wake umeme tu hahahahaah! chezeya mpenzi dildo?????
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mhhhh! pamoja na kukubaliana na yoye uliyoyasema lakini huwezi kufananisha raha unayoipata ukiwa na kitu original na hilo dubwasha...we unajua ukweli umelalia wapi....acha mchezo na naniliu!!! kamwe haiwezi kufananishwa na dubwasha la plastick kwi kwi kwi kwi ambalo hata haliwezi kula denda lol! kupapasa sehemu zenye kuleta raha na mengineyo mengi

unashangaa BAK?????????? tena usiipimie kabisa ama nikwambie sifa zake?
dildo, haina ukimwi, haina wivu, haijui kusema nimechoka, haipigi kelele, haina kutamani, haijui kudanganya wala kuumiza hisia za mtu, ikimuona mume mwenzie wala haijui kuteta. msiri wake umeme tu hahahahaah! chezeya mpenzi dildo?????
 
Mhhhh! pamoja na kukubaliana na yoye uliyoyasema lakini huwezi kufananisha raha unayoipata ukiwa na kitu original na hilo dubwasha...we unajua ukweli umelalia wapi....acha mchezo na naniliu!!! kamwe haiwezi kufananishwa na dubwasha la plastick kwi kwi kwi kwi ambalo hata haliwezi kula denda lol! kupapasa sehemu zenye kuleta raha na mngineno mengi

Kwa Hiyo sisi Madubwasha Yetu Hayapatikani...Au Ndo Tutafia Juu Ya Nyeto?
 
Duuuh hii ndunia ni nyingine kabisa!
Yan unatafuta wa kukuchuna, nahisi huna lolote unge kuwa na hela kweli wala usinge tafuta wa kukuchuna wange kuja wenyewe hadi unge kimbia mwenyewe!
Lazima una tatizo.

NB: kama ni pesa za urithi ni bora ukafanyie shughuli nyingine ya maana siyo hii.

Mi ni mvulana, nahitaji ka demu ka kunichuna. Kawe kazuri ka wastani na kawe tayari kudo wakati wowote ninapokahitaji. Nitakagharimia kwa mahitaji yote yatakayokuwa ndani ya uwezo wangu. am serious. Aliyd tayari, please, PM me
 
Mhhhh! pamoja na kukubaliana na yoye uliyoyasema lakini huwezi kufananisha raha unayoipata ukiwa na kitu original na hilo dubwasha...we unajua ukweli umelalia wapi....acha mchezo na naniliu!!! kamwe haiwezi kufananishwa na dubwasha la plastick kwi kwi kwi kwi ambalo hata haliwezi kula denda lol! kupapasa sehemu zenye kuleta raha na mngineno mengi

hahahahahah! BAK kama utam hata dildo unatoa.........siku hizi hatutaki bora mwanaume bali mwanaume bora.
kama ukimkosa mbona dildo inahuuuu kwa sana tu? mtakoma kazaneni kuutetea uanaume wenu vinginevyo dildo inawareplace soon. sipati picha siku unamkuta nalo mkeo lol!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hayo niliyoyaandika yanahusu mwanaume bora bana!!! si bora mwanaume...hata ulisifiye vipi hilo dubwasha kamwe raha yake haiwezi kufanana na dozi atakazotoa njemba bora....kwi kwi kwi kwi. Kuna watu wanayalalamikia hato madubwasha kila siku, utasikia jamani nimeyachoka haya madudu nataka kitu original tena ukikishika unasikia cha moto na si baridi kama hilo plastick :)

BAK mwanaume bora lazima atamudu wajibu wake nyumban sasa ukiona mwanamke anatumia dildo ujue mume wake ni mume fake sasa ya nn kufa kwa ukimwi ama jaka moyo? waaache watumie dildo serious nawasapoti wanaoweza kuyanunua na kuyatumia lol!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
nenda facebook utawakuta wa aina yako.mods ili kutoshusha thamani ya JF jitahidini kuvithibiti vitoto kama hivi vinavyoleta thread za ki...ge

dem gani una lugha chafu kama sura yako. Kwanza hulipi wala nn!
 
Back
Top Bottom