Nahisi Mwanamke wangu anatamani wanawake wenzie

Don't fret.

Kill two birds with one stone.

I got a girlfriend and she has a friend.

They both call me daddy so it's like I got two twin girls.

They do the things they want.

And I work on doing two things at once.

It doesn't get any better than that!
 
Kazi unayo huyo anasagana na wenzie! Sababu hutaki kumwambia ukweli subiri ukishuhudia!
 
We muambie hivi
unatamani threesome ya wanawake wawili na wewe
muone ata react vipi..
akisema poa mwambie hujui wa kumpata wa pili
akisema halina tabu hilo
jibu umepata

uncanny like...i was just thinking the same thing man....hapa nikuomba threesome tuu alafu utasikia post yake nyingine ni jamani threesome tamuuuuuuu
 
kaka huyo shem wetu ana tabia ya uzi.....................mbele anachoma at the same time nyuma anawekwa uzi. Inawezekana kabisa hao wanawake unaosema anaongea nao kwenye simu walikuwa wanasagana au wanaendelea kusagana ndo maana akiwaona wengine anawamezea mate anatamani nao awakoboe. Mchunguze vizuri huyo, siku mnaweza kulala, ukastukia kakutia dildo(artifial cock) makalioni.................... aha ha ha ha haha!!! sijui utakuja kutuelezea hapa JF ikitokea hivyo?

Duh aisee nimecheka vibaya mno, mossad wewe kiboko khaaaaaaa
 
Sijui kama hili linaweza kuwa geni kwenu,Mwanamke wangu ananizidi umri kidogo kama miaka mitano,kuna kitu ambacho kwangu ni kigeni nikimlinganisha na wanawake niliowahi ku date siku za nyuma,kila tukitoka out na kukutana na wanawake wengine anawaangalia kwa jicho la tamaa,yaani kama mwanaume anavyomwangalia mwanamke kwa kumtamani ndivyo anavyofanya,yaani nimejifanya sioni hili kwa muda mrefu sana na nahisi siwezi kumwambia kuwa hiyo tabia inanikera,kuna wanawake kwenye simu yake wanavyoongea ni kama aliwahi kufanya nao mapenzi siku za nyuma,hivi inawezekana mwanamke akawa anafanya mapenzi na wanawake wenzake na hapo hapo akawa na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume?nifanye nini wakuu hii tabia inakera japop sina mpango wa kuoana naye lakini company yake naipenda

By the way, kwa nini usitafute kampani na mtu ambaye atakuja kuwa mkeo moja kwa moja badala ya kuhangaika na kampani ambayo huna future nayo ambayo kimsingi baadaye inaweza hata kuja kukuharibia mahusiano yako na mkeo mtarajiwa?
 
Ulezi kwa sasa umekuwa mgumu...ukiwa na mtoto wa kike unaweza kujisifu kuwa yuko safe kwa kuwa hana male company kumbe ndio kwishney...anasagana.Niliangalia movie moja mama amemlea mwanae kwa kumchunga sana na kumpandikiza maneno ya kutisha kuhusu wanaume...kilichofuata akaanza kusagwa na sugar mummy mmoja...mama hana hili wala lile; kwani alikuwa hashtuki akimwona na wasichana au wanawake.Hivyo muwe makini sana na u close wa mabinti zenu na same sex pia. Na msiwatishe sana kuhusu wanaume...wataishia kuwa ma lesbian
mimi ninayo ambayo a guy married his high school sweetheart and discovered later that she is a lesbian!! palichimbika
Sijui kama hili linaweza kuwa geni kwenu,Mwanamke wangu ananizidi umri kidogo kama miaka mitano,kuna kitu ambacho kwangu ni kigeni nikimlinganisha na wanawake niliowahi ku date siku za nyuma,kila tukitoka out na kukutana na wanawake wengine anawaangalia kwa jicho la tamaa,yaani kama mwanaume anavyomwangalia mwanamke kwa kumtamani ndivyo anavyofanya,yaani nimejifanya sioni hili kwa muda mrefu sana na nahisi siwezi kumwambia kuwa hiyo tabia inanikera,kuna wanawake kwenye simu yake wanavyoongea ni kama aliwahi kufanya nao mapenzi siku za nyuma,hivi inawezekana mwanamke akawa anafanya mapenzi na wanawake wenzake na hapo hapo akawa na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume?nifanye nini wakuu hii tabia inakera japop sina mpango wa kuoana naye lakini company yake naipenda
y not just be friends?? sioni logic ku-date mtu ambaye anaweza kuwa na SameSex attraction. u can still enjoy her company as friends and without any problems
 
Don't fret.

Kill two birds with one stone.

I got a girlfriend and she has a friend.

They both call me daddy so it's like I got two twin girls.

They do the things they want.

And I work on doing two things at once.

It doesn't get any better than that!

Kazi unayo huyo anasagana na wenzie! Sababu hutaki kumwambia ukweli subiri ukishuhudia!

hapa mi sitii neno!
 
Sijui kama hili linaweza kuwa geni kwenu,Mwanamke wangu ananizidi umri kidogo kama miaka mitano,kuna kitu ambacho kwangu ni kigeni nikimlinganisha na wanawake niliowahi ku date siku za nyuma,kila tukitoka out na kukutana na wanawake wengine anawaangalia kwa jicho la tamaa,yaani kama mwanaume anavyomwangalia mwanamke kwa kumtamani ndivyo anavyofanya,yaani nimejifanya sioni hili kwa muda mrefu sana na nahisi siwezi kumwambia kuwa hiyo tabia inanikera,kuna wanawake kwenye simu yake wanavyoongea ni kama aliwahi kufanya nao mapenzi siku za nyuma,hivi inawezekana mwanamke akawa anafanya mapenzi na wanawake wenzake na hapo hapo akawa na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume?nifanye nini wakuu hii tabia inakera japop sina mpango wa kuoana naye lakini company yake naipenda
wazee wa threesome
 
Ndio si huyo yupo katika kundi la Bisexuals

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom