Zneba
Senior Member
- May 12, 2010
- 192
- 7
baba enock vipi?Mkuu,
Kama "analipa", tafuna!
baba enock vipi?Mkuu,
Kama "analipa", tafuna!
Inaonekana nyumba yako suala la maadili ya jinsi ya uvaaji ni tatizo,housegirl kupita mbele yako na khanga moja huku nguo ya ndani inaonekana si suala la kulifumbia macho,hapo kwako kuna tatizo na inaonekana imezoeleka mambo kama hayo ingawa kwako ni vigumu kuyaona labda kwa kuwa huwa unarudi usiku huku wenzio mcahana wakijimwaga na vinguo vifupi.
Yatakiwa uweke utaratibu wa namna ya kuishi,hivi msichana wa ndani wa nini wakati umebaki peke yako na hakuna watoto?Kama mkeo kaenda kwao basi na huyo msichana mngempeleka kwao mpaka mkeo arudi,wakati mwingine matatizo tunajitafutia wenyewe.
Pia angalia sana ukaribu wako na huyo msichana kwani inaonekana umempa uhuru sana wa kuzungumza nae kiasi kwamba yupo tayari kukwambia ukalale nae kwa kisingizio cha kuogopa hizo sauti!
Mrudishe kwao mpaka mkeo arudi na wala usifikirie suala la mkeo kukutega.
Nimeoa na ninaishi na mfanyakazi nyumbani.
Mke wangu kaenda kijijini kwao kumuuguza dada yake hivyo basi nyumbani nimebaki mimi tu na msichana wetu wa kazi.
Ijumaa usiku, nlirudi mapema sana nyumbani, binti akawa haishi kukatiza mbele yangu na kanga moja tu aliyojifunga kifuani, yaani kanga ilikuwa inaangaza sana hadi nikawa naioana chupi yake ya pikini pila hata kutumia nguvu.
Jumamosi alivaa kasketi kafupi sana, na kali kabisa ni ya jana usiku.
Alikuja kunigongea mida ya saa tano usiku, akisema chumbani kwake anasikia sauti za watu wanaongea dirishani.
Nikaenda kusikiliza hizo sauti, kukawa kimya kwa zaidi ya dk 15.
nikarudi chumbani kwangu kulala.
Saa saba akaja na kuniambia hawezi kulala kwa sababu ya woga hivyo anaomba nikalale naye.
Duhhhh, ikabidi nimwambie kuwa mi mwenyewe naogopa hizo sauti kwa hiyo akalale sebuleni.
Akaenda huko na hajanisumbua tena.
Kichwani nimebaki na maswali huyu binti ananiteha au mimi ndio nawaza vibaya?
HA HA HA!
nimicheka sana........!
jamaa kaachiwa ''MBOGA'' nyumbani anasua sua
Sumba, inaonekana unamtamani huyo h/g kiasi kwamba huna uwezo wa kum-discpline, inakuwaje awe huru kutembea nusu uchi mbele zako bila hofu? Yaani unashindwa kabisa kumkemea? Siamini! You can be weak outside your home but not inside your home, yaani mamlaka yako kama Mzee wa Boma ka-house geli hakayoani wala kuyaheshimu! Una matatizo
Duh!!!!
Nauheshimu sana ushauri wako, lakini kwa jinsi ninavyompenda mke wangu, kamwe sito diriki kutembea na mwanamke yeyote zaidi yake.
:evil:I Second the motion. Unajuaje kama na wewe mkeo huko aliko kama hatafunwi?