Nahisi Haus gel wangu ananitega

Inaonekana nyumba yako suala la maadili ya jinsi ya uvaaji ni tatizo,housegirl kupita mbele yako na khanga moja huku nguo ya ndani inaonekana si suala la kulifumbia macho,hapo kwako kuna tatizo na inaonekana imezoeleka mambo kama hayo ingawa kwako ni vigumu kuyaona labda kwa kuwa huwa unarudi usiku huku wenzio mcahana wakijimwaga na vinguo vifupi.
Yatakiwa uweke utaratibu wa namna ya kuishi,hivi msichana wa ndani wa nini wakati umebaki peke yako na hakuna watoto?Kama mkeo kaenda kwao basi na huyo msichana mngempeleka kwao mpaka mkeo arudi,wakati mwingine matatizo tunajitafutia wenyewe.
Pia angalia sana ukaribu wako na huyo msichana kwani inaonekana umempa uhuru sana wa kuzungumza nae kiasi kwamba yupo tayari kukwambia ukalale nae kwa kisingizio cha kuogopa hizo sauti!
Mrudishe kwao mpaka mkeo arudi na wala usifikirie suala la mkeo kukutega.
 
Mpwa...
ndio maana hata mi nkashangazwa na aina yake ya uvaaji, kiasi kwamba nahisi nategwa.
Inaonekana nyumba yako suala la maadili ya jinsi ya uvaaji ni tatizo,housegirl kupita mbele yako na khanga moja huku nguo ya ndani inaonekana si suala la kulifumbia macho,hapo kwako kuna tatizo na inaonekana imezoeleka mambo kama hayo ingawa kwako ni vigumu kuyaona labda kwa kuwa huwa unarudi usiku huku wenzio mcahana wakijimwaga na vinguo vifupi.
Yatakiwa uweke utaratibu wa namna ya kuishi,hivi msichana wa ndani wa nini wakati umebaki peke yako na hakuna watoto?Kama mkeo kaenda kwao basi na huyo msichana mngempeleka kwao mpaka mkeo arudi,wakati mwingine matatizo tunajitafutia wenyewe.
Pia angalia sana ukaribu wako na huyo msichana kwani inaonekana umempa uhuru sana wa kuzungumza nae kiasi kwamba yupo tayari kukwambia ukalale nae kwa kisingizio cha kuogopa hizo sauti!
Mrudishe kwao mpaka mkeo arudi na wala usifikirie suala la mkeo kukutega.
 
Sumba, inaonekana unamtamani huyo h/g kiasi kwamba huna uwezo wa kum-discpline, inakuwaje awe huru kutembea nusu uchi mbele zako bila hofu? Yaani unashindwa kabisa kumkemea? Siamini! You can be weak outside your home but not inside your home, yaani mamlaka yako kama Mzee wa Boma ka-house geli hakayoani wala kuyaheshimu! Una matatizo
 
Nimeoa na ninaishi na mfanyakazi nyumbani.
Mke wangu kaenda kijijini kwao kumuuguza dada yake hivyo basi nyumbani nimebaki mimi tu na msichana wetu wa kazi.
Ijumaa usiku, nlirudi mapema sana nyumbani, binti akawa haishi kukatiza mbele yangu na kanga moja tu aliyojifunga kifuani, yaani kanga ilikuwa inaangaza sana hadi nikawa naioana chupi yake ya pikini pila hata kutumia nguvu.
Jumamosi alivaa kasketi kafupi sana, na kali kabisa ni ya jana usiku.
Alikuja kunigongea mida ya saa tano usiku, akisema chumbani kwake anasikia sauti za watu wanaongea dirishani.
Nikaenda kusikiliza hizo sauti, kukawa kimya kwa zaidi ya dk 15.
nikarudi chumbani kwangu kulala.
Saa saba akaja na kuniambia hawezi kulala kwa sababu ya woga hivyo anaomba nikalale naye.
Duhhhh, ikabidi nimwambie kuwa mi mwenyewe naogopa hizo sauti kwa hiyo akalale sebuleni.
Akaenda huko na hajanisumbua tena.
Kichwani nimebaki na maswali huyu binti ananiteha au mimi ndio nawaza vibaya?

...pole sana kaka,
wewe ni dereva wa mawazo yako, usimuwazie vibaya binti wa watu.
Ni maruwe ruwe tu hayo ya kukosekana mama mwenye nyumba, 'ugua' pole. :thumb:
 
Chonde chonde kaza moyo. Najua na naelewa yanayo kukuta. mimi ndiko nilijifunzia zamani wakati wa balehe
 
Sumba, kama umeweza kuepuka vituko vya siku tatu mfululizo basi naamini unaweza epuka vishawishi vya karne nzima.
Mshinde shetani.
 
Duuh, afadhali umeachana naye bila kufanya lolote. Ukitaka nyumba isambaratike anza kuonja onja hawa house girls. Utakuwa baba usiye na "speed wala standard".
 
Sumba, inaonekana unamtamani huyo h/g kiasi kwamba huna uwezo wa kum-discpline, inakuwaje awe huru kutembea nusu uchi mbele zako bila hofu? Yaani unashindwa kabisa kumkemea? Siamini! You can be weak outside your home but not inside your home, yaani mamlaka yako kama Mzee wa Boma ka-house geli hakayoani wala kuyaheshimu! Una matatizo

sawa kabisa Ibrah, lakini pia hata story yenyewe alivoinarrate,, inaonyesha kabisa kuwa kama akiendelea hivi, anaweza ku do ze nidiful

mkuu kama unafahamu baa zilipo nakushauri uwe unachelewa kurudi kisha huyooo unaingia ndani unajifungia kulala.....
 
hehehehe hehehe
nikimwangalia wa kwangu ambaye hata sauti ananilegezea huwa najiuliza mara sitasita kuwa ananini na mimi huyu binti???
nimeshamshtaki kwa wife sana ila hasemi naye kwa sababu anakaa vizuri na mwenetu mchanga. naangalia mwishoni itakuwaje maana majaribu yakizidi inabidi kuporomokea dhambini bila kusita
 
Nimeoa na ninaishi na mfanyakazi nyumbani.
Mke wangu kaenda kijijini kwao kumuuguza dada yake hivyo basi nyumbani nimebaki mimi tu na msichana wetu wa kazi.
Ijumaa usiku, nlirudi mapema sana nyumbani, binti akawa haishi kukatiza mbele yangu na kanga moja tu aliyojifunga kifuani, yaani kanga ilikuwa inaangaza sana hadi nikawa naioana chupi yake ya pikini pila hata kutumia nguvu.
Jumamosi alivaa kasketi kafupi sana, na kali kabisa ni ya jana usiku.
Alikuja kunigongea mida ya saa tano usiku, akisema chumbani kwake anasikia sauti za watu wanaongea dirishani.
Nikaenda kusikiliza hizo sauti, kukawa kimya kwa zaidi ya dk 15.
nikarudi chumbani kwangu kulala.
Saa saba akaja na kuniambia hawezi kulala kwa sababu ya woga hivyo anaomba nikalale naye.
Duhhhh, ikabidi nimwambie kuwa mi mwenyewe naogopa hizo sauti kwa hiyo akalale sebuleni.
Akaenda huko na hajanisumbua tena.
Kichwani nimebaki na maswali huyu binti ananiteha au mimi ndio nawaza vibaya?

du kaka jaribu kumshida shetani usimsariti mkeo labda mgonjwa huyo beki tatu
 
usikubari kabisa kuingia kwenye mtego ambao mimi ninauita ni wa kijinga,
kwanza kumbuka ukikubari kujitega na msichana wako wa kazi ni kujidharaulisha sana nafsini
mwako na kuitenda dhambi roho yako na kisha mkeo na kuinajisi ndoa yako na kisha kuudhi
ufalme wa Mungu na hivyo kumtenda dhambi Mungu
 
Jaribu kubwa sana hilo ndugu! Likimbie! Njoo late sana nyumbani na jaribu kumwepuka!
Infact kama unampenda mkeo na kama unataka kulinda dignity na trust yako kwa mkeo, kutembea na house girl ni tusi kubwa sana kwanza kwa mkeo na pili P yako utakuwa umeitupa kwenye tope kabisa!
She is not your type men! WAKEUP
 
kwanza naona uko weak sana katika maelezo yako. Mimi nyumbani kwangu mke wangu awepo asiwepo ni MARUFUKU TENA MARUFUKU mtu kuvaa nguo za kubana kanga sijui tight hilo ni jambo la kwanza kumweleza. Mara tupatapo msichana tunamweleza kama mke na mume kuwa maadili ya familia yakoje na kipi hatutaki. Hivyo hayo mengine yakitokea anajua kinachofuata ni kufukuzwa , kwanza kwa jinsi tunavyoishi kwa adabu hatathubutu. Ndio maana nachelea kusema kuna kitu umechangia katina yeye kuvaa hivo.
Kama mnapenda maisha mazuri na wake zenu, mumwe mna maamuzi ya pamoja kuhusu wageni, wafanyakazi , mavazi, lugha , vipindi vya televisheni nk kwahiyo watu wanaokuja kuishi kwenu watajua maadili ya familia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom