GFM
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 706
- 6
mie niliona kama ulivyomtuma maji ya kunywa uso wake ulibadikammmhhhh mwenzangu mbona hicho kiburi sikioni???
na mshahara bado ni uleule....
mmmhh na vijana anowajua ni wale tu anaoimba nao kwaya....
kuna kitu ambacho we unajua mimi sijui???
mmmmhhhh unaniogopesha baba watoto..
huwa anasikiliza ukimwachia majukumu, unajua mie huwa sionge nae
nasoma body language tu.................