Nafurahia mapenzi nikiwa na binamu yangu kuliko mume wangu

Hilo ni somo la ku separate watoto wa jinsia tofauti...
Na kwa wale mnaopenda kupeleka watoto zenu waka spend nights kwa ndugu...somo linawahusu...
 
Niaje guys? Hope ur good

Kuna cousin angu ambae ni mtoto wa shangazi yangu, nimelelewa, kusoma na kukua kwao, Nilienda hapo nikiwa std two baada ya baba kufariki, wazazi hawakua na ndoa, walipena tu mimba kama marafiki, mama alirudi mkoani kwao na amekua akiishi huko miaka yote

Nikiwa form three nilianzisha uhusiano wa kimapenzi na huyo cousin angu, wote tulikua boarding school, wakati wa likizo ndio tunakua pamoja, tumbo lao wapo wanne, watatu wasichana, yeye pekee ndio mwanaume, tumekua na uhusiano wa siri hadi chuo, mm nilisoma sheria yeye alifanya bachelor of Commerce, baadae tukaanza kazi na kupata familia zetu, kiukweli tangu kuanza mapenzi sijawahi kumpenda mtu mwingine the way navyompenda huyu cousin angu

Nimemzoea mno, kiasi kwamba baada ya chuo Tulikubaliana kila mtu atafute mpenzi mwingine maana uhusiano wetu hauna future Kutokana na kuwa ndugu, nikapata mtu kazini lakini nilishindwa tukarudiana na cousin yangu, baadae ndipo nikampata huyu alienioa, lakini bado sikuweza kumsahau cousin, tunaendelea na uhusiano wetu hadi sasa kwa kuiba, nina watoto wawili wa huyu cousin yangu Ingawa husband anajua ni wa kwake, hawajafanana sana na cousin yangu lakini ukimuona mtoto wa cousin yangu aliepata na mkewe na hawa mapacha wangu wanafanana kila kitu na huyo wa kule, sio kwamba nilizaa nae kwa Bahati mbaya nilimbebea mimba purposely, yaani nilikua kama vile niko obsessed, nilikua kama vile bado naamini ipo siku tutaishi pamoja, lakini kadri miaka inavoenda uwezekano huo unapotea kabisa, ni shetani ndio amekua akinidanganya na sio akili yangu
Huwa namwambia Mr wangu kuwa watoto wamefanana na kule kwa shangazi yangu, Mungu ni wa ajabu, na yy anasema amina, ni kweli kabisa,

Mke wa cousin angu huwa hatuelewani sijajua kwa nn, Ingawa hatujawahi kugombana ila ndio hivyo hanipendi kabisa, cousin yangu ameshasema kwa maslahi ya ndoa zetu tuachane for good, lakini kwa kweli nimeshindwa kabisa kumuondoa moyoni, hata yy pia huwa anasema tu kwa maneno lakini tukionana tunakumbatiana hadi tunalia, naweza kujitahidi hata kwa miezi mitatu mnne lakini baadae nashindwa, namtafuta nambembeleza tunajikuta tumefanya

Natafuta namna nimuondoe kabisa moyoni tuliache kabisa jambo hili kabla halijaleta madhara kwa pande zote, maana hadi sasa mwingine anaejua suala hili ni dada yake wanaefuatana nae, na ambae ameshatuonya sana tuliache bila mafanikio

Naomba mnisaidie nifanye nn nivuke jaribu hili

Asante

Nachojua ukiendelea na huu ujinga kuna uharibifu Mkubwa na mbaya utatokea, cha kukushauri Ufanye mi sina. Majuto yanaweza kuwa Mabaya sana!
 
Kama ningekuwa na uwezo wa kujibadilisha kuwa mwarabu ningefanya hivyo ili nimuoe binamu yangu,
Kuna binamu wangu moja tunafanya mapenzi huu mwaka wa 7, amekwisha toa mimba 2 zangu,
Sasa dini na rangi zimetunyima kuoana
Kumbe sio yeye selina pekee
 
Niaje guys? Hope ur good

Kuna cousin angu ambae ni mtoto wa shangazi yangu, nimelelewa, kusoma na kukua kwao, Nilienda hapo nikiwa std two baada ya baba kufariki, wazazi hawakua na ndoa, walipena tu mimba kama marafiki, mama alirudi mkoani kwao na amekua akiishi huko miaka yote

Nikiwa form three nilianzisha uhusiano wa kimapenzi na huyo cousin angu, wote tulikua boarding school, wakati wa likizo ndio tunakua pamoja, tumbo lao wapo wanne, watatu wasichana, yeye pekee ndio mwanaume, tumekua na uhusiano wa siri hadi chuo, mm nilisoma sheria yeye alifanya bachelor of Commerce, baadae tukaanza kazi na kupata familia zetu, kiukweli tangu kuanza mapenzi sijawahi kumpenda mtu mwingine the way navyompenda huyu cousin angu

Nimemzoea mno, kiasi kwamba baada ya chuo Tulikubaliana kila mtu atafute mpenzi mwingine maana uhusiano wetu hauna future Kutokana na kuwa ndugu, nikapata mtu kazini lakini nilishindwa tukarudiana na cousin yangu, baadae ndipo nikampata huyu alienioa, lakini bado sikuweza kumsahau cousin, tunaendelea na uhusiano wetu hadi sasa kwa kuiba, nina watoto wawili wa huyu cousin yangu Ingawa husband anajua ni wa kwake, hawajafanana sana na cousin yangu lakini ukimuona mtoto wa cousin yangu aliepata na mkewe na hawa mapacha wangu wanafanana kila kitu na huyo wa kule, sio kwamba nilizaa nae kwa Bahati mbaya nilimbebea mimba purposely, yaani nilikua kama vile niko obsessed, nilikua kama vile bado naamini ipo siku tutaishi pamoja, lakini kadri miaka inavoenda uwezekano huo unapotea kabisa, ni shetani ndio amekua akinidanganya na sio akili yangu
Huwa namwambia Mr wangu kuwa watoto wamefanana na kule kwa shangazi yangu, Mungu ni wa ajabu, na yy anasema amina, ni kweli kabisa,

Mke wa cousin angu huwa hatuelewani sijajua kwa nn, Ingawa hatujawahi kugombana ila ndio hivyo hanipendi kabisa, cousin yangu ameshasema kwa maslahi ya ndoa zetu tuachane for good, lakini kwa kweli nimeshindwa kabisa kumuondoa moyoni, hata yy pia huwa anasema tu kwa maneno lakini tukionana tunakumbatiana hadi tunalia, naweza kujitahidi hata kwa miezi mitatu mnne lakini baadae nashindwa, namtafuta nambembeleza tunajikuta tumefanya

Natafuta namna nimuondoe kabisa moyoni tuliache kabisa jambo hili kabla halijaleta madhara kwa pande zote, maana hadi sasa mwingine anaejua suala hili ni dada yake wanaefuatana nae, na ambae ameshatuonya sana tuliache bila mafanikio

Naomba mnisaidie nifanye nn nivuke jaribu hili

Asante

Huyu mwanamke ni hatari kuliko bomu la nyuklia. Eh Baba tuonee huruma Mungu, huyu mwanamke uliyenipa kutoka ubavuni mwangu wa kushoto amevunja na mbavu za kulia sasa moyo, maini, mapafu na utumbo vyote viko nje naomba utufunike kwa damu yako.
 
binadamu nyama ya hamu, mistake nikuzaa nae tena purposely kenge ww ndo maana nshasemaga watoto wangu DNA itahusika tu kwa siri maana wanawake niwabovu
 
Ni bora kutooa kabisa! Kwa haya ndo mana wengine wanaua kabisaan ukiona unasikia mume kaua, mke na watoto nae kajinyonga, ndo hayo ndoa kuna mambo mengi
 
Kinachofuata kwenye hii muvi ni Watoto wako wa damu kumegana wenyewe kwa wenyewe humo ndani ya nyumba yako. Maana umelianzisha mwenyewe
 
Back
Top Bottom