Nafurahia mapenzi nikiwa na binamu yangu kuliko mume wangu

God will punish you! What does that innocent man did to deserve that shame from you? kumbebea mimba nje na uko ndani ya ndoa anakuhudumia day and night? You cheap bit…!
if U know what is good for you you better take action! Unatutia aibu wanawake wenzio
Mmejuaje mme ni innocent? Au Selina kasema?
 
huyo shetani alikupitia mwende kwa binamu? ..........watoto sio wa mumeo na wala humpendi/hamu naye ......omba talaka ondoka na wanao kaanze maisha yako huku ukiendelea na binamu
 
acha kumsingizia shetani sema mna laana, yaani mpaka umemzalia watoto basi usishange watoto wako wakianza kumegana na watoto wa huyo binamu yako mlioanzisha huo mchezo na kuufanya uwe endelevu, utarithi kizazi hadi kizazi
Hiyo ni kweli ingawa hajaelewa hilo hasa anaposema "tumsaidie aachane na hii tabia kabla ya mdhara hayajatokea"
Kwa dhambi hii mlioshiriki watoto wenu wakipona mkatoe sadaka kanisani..
Selina hujawahi sikia kitu kinaitwa laana za familia?!! Unaabudu kanisa gani wewe dada?
 
Nyie wanawake nyie, huyo Lusifa unaemsingizia, atahakikisha aibu yako inakuwa wazi kabla hujachungulia kaburi...... wanawake wanawake wanawake!!!!!!!
 
huyo shetani alikupitia mwende kwa binamu? ..........watoto sio wa mumeo na wala humpendi/hamu naye ......omba talaka ondoka na wanao kaanze maisha yako huku ukiendelea na binamu
shetani alimpa nauli.
nadhani wewe tu ndo umempa ushauri sijaona ushauri mwingine
 
nimesoma kwa umakini wa ziada,dada mtoa mada hujajua tu huyo mumeo ni bandidu kuliko maelezo,amekutia mimba wewe na mke wa cousin yako!hao watoto wote ni wa kwake,usidhani jamaa hajui mke wake unaliwa na cousin yako ndio maana kawazunguka kijanja,anza kuwaangalia vizuri hao watoto utaona wanafanana na mmeo,waangalie vidole vya miguu na mikono utaona vinafanana na mmeo au mama mkwe wako!!mumeo ni mshenzi wa tabia nimemvulia kofia!!!
 
Hii story kama ni ya kweli, na mumeo kama yupo humu, anaweza unga dots.
Jiandae kuachika mkuu
 
Kama ningekuwa na uwezo wa kujibadilisha kuwa mwarabu ningefanya hivyo ili nimuoe binamu yangu,
Kuna binamu wangu moja tunafanya mapenzi huu mwaka wa 7, amekwisha toa mimba 2 zangu,
Sasa dini na rangi zimetunyima kuoana
Mmhhh, kumbe mpo wengi

Alphaking
 
Wazo la Leo
Si kila anayekwambia watoto Hawa jambo anamaanisha watoto wako. Wengine wanaulizia watoto waliowazaa na mkeo.
 
Back
Top Bottom